Njama za Mapinduzi ya kijeshi zatibuka ktk taifa jirani

Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.

Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.

Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.

Sijataja nchi wala Rais husika.
Let's be careful with this person, this is propaganda brought to stop discussing the hundred years of our Port agreement.
 
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.

Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.

Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.

Sijataja nchi wala Rais husika.
Wanapanga kumtoa je washafikiria kuhusu mrithi wake sahihi , je wanamuimin vp kuwa atawapeleka zaid ya pale alipo waacha Ngongoti?
 
Rwandan president reshuffles top military officers

Rwanda's President Paul Kagame has appointed new military and intelligence chiefs in a major reshuffle.

The president appointed Juvénal Marizamunda as the new defence minister, replacing Maj Gen Albert Murasira, who was in the post since 2018.

A new army chief, Lt Gen Mubarakh Muganga, is taking over from Gen Jean Bosco Kazura who ran the Rwanda Defence Force (RDF) since November 2019.

A reshuffle in which a defence minister and army chief are fired at the same time is not common in Rwanda.

No reasons have been given for the reshuffle. In previous changes to the upper echelons of the military, Mr Kagame would at times publicly hint at the reason.

In the Monday night reshuffle, Mr Kagame also appointed a new army chief of staff (land forces) as well as head of military intelligence.

In another move, he changed the top commanders of Rwandan troops deployed in Mozambique to help fight militant Islamists.

Source: BBC
 
Nasikia ukiacha hao top commanders Kuna wanajeshi wengine wa kawaida wametumuliwa jeshini idadi jumla 244, huwez fukuza wanajeshi wengi kiasi hicho ukabaki salama huyu Kagame siku zake zinahesabika.
 
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.

Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.

Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.

Sijataja nchi wala Rais husika.
Kama ni ile nchi ndogo ya maziwa makuu hilo halishangazi, huenda pia ni reshuffle ya kawaida tu.
 
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.

Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.

Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.

Sijataja nchi wala Rais husika.
P.k
 
Nasikia ukiacha hao top commanders Kuna wanajeshi wengine wa kawaida wametumuliwa jeshini idadi jumla 244, huwez fukuza wanajeshi wengi kiasi hicho ukabaki salama huyu Kagame siku zake zinahesabika.
Wamefukuzwa kazi au wamebadilishiwa majukumu
 
Back
Top Bottom