Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ngongoti?The beginning of an end for giraffe?
wanazingua kinyamaNgongoti?
MkuuIntelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.
Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.
Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.
Sijataja nchi wala Rais husika.
Kagame regimekwa nini mafumbo? what for? I don't even know who you talking about.
Acha hizo, Nani katajwa jina hapo?Kagame kashtukia mchezo mapema
Acha ufara nani wa kumtoa wahutuPaKa lazima atolewe kwa mtutu
Ungejua yanayoendelea usingesema hayo!! African Union yote saiv tumbo joto. Ajabu USA wamemchoka piaAdministration futa hii post imekaa kama stori za kwenye kahawa
Hakuna wa kumtoa, analindwa na ufaransa.PaKa lazima atolewe kwa mtutu
wanasema ni Paulo Kagame {PAKA}kwa nini mafumbo? what for? I don't even know who you talking about.
wanasema ni Paulo Kagame {PAKA}