Njama za Yanga kuharibu mechi za Simba

Njama za Yanga kuharibu mechi za Simba

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimepata tetesi kuwa kuna timu ya watu wa Yanga waliojipanga kufanya matukio ya kuchafua taswira ya mpira wa Tanzania hususani wakati Simba wanacheza.

Tunaendelea na uchunguzi kwani kwa taarifa kutoka chanzo kinachoaminika, mikakati hii ina lengo la kupunguza kasi ya watoto wanaoikubali Simba utotoni kwa kuwatisha na vitu vya kusadikika.

Baada ya uchunguzi kukamilika, tutaleta ushahidi wa watu walioandaa mipango hiyo michafu dhidi ya Simba.

Kuna baadhi ya waandishi makanjanja walifika mahali wakaja na takwimu kabisa za jinsi ushindi wa Simba ulivyopatikana.Si jambo la kushangaza kwa mtu asiye na elimu akisema ushindi wa Simba ulipatikana nje ya uwanja kwa 60%. Ila ni jambo la ajabu mtu kama huyu kuaminiwa na kituo kama Wasafi FM. Ukiuliza vigezo vya kupata hizo 60% huku tukiona wachezaji wetu kama Luis wakicheza hadi kutaka kuvunjwa shingo, ukweli ni kwamba hawana.

Sasa kama mlileta paka na mkapigwa 4, hebu mechi yenu leteni fisi kabisa safari hii mtakataana.Maana aliyewalea ameshaondoka.Safari hii mtaona moto wa striker wawili
 
Unahangaika na Maneno ya Kwenye Kanga au Kitenge.
Utaonekana binadamu wa ajabu sana.
Maneno ya Kanga
Au maneno ya Kitenge ni kwaajiri ya mipasho tu.
Hayana maana yoyote.
 
Nimepata tetesi kuwa kuna timu ya watu wa yanga waliojipanga kufanya matukio ya kuchafua taswira ya mpira wa Tanzania hususan wakati Simba wanacheza.

Tunaendelea na uchunguzi kwani kwa taarifa kutoka chanzo kinachoaminika,mikakati hii ina lengo la kupunguza kasi ya watoto wanaoikubali Simba utotoni kwa kuwatisha na vitu vya kusadikika.

Baada ya uchunguzi kukamilika,tutaleta ushahidi wa watu walioandaa mipango hiyo michafu dhidi ya Simba.

Kuna baadhi ya waandishi makanjanja walifika mahali wakaja na takwimu kabisa za jinsi ushindi wa Simba ulivyopatikana.Si jambo la kushangaza kwa mtu asiye na elimu akisema ushindi wa Simba ulipatikana nje ya uwanja kwa 60%.Ila ni jambo la ajabu mtu kama huyu kuaminiwa na kituo kama Wasafi FM.Ukiuliza vigezo vya kupata hizo 60% huku tukiona wachezaji wetu kama Luis wakicheza hadi kutaka kuvunjwa shingo,ukweli ni kwamba hawana.

Sasa kama mlileta paka na mkapigwa 4,hebu mechi yenu leteni fisi kabisa safari hii mtakataana.Maana aliyewalea ameshaondoka.Safari hii mtaona moto wa striker wawili
Huyu hapa mtu wao waliyemlipa hela kuja kuingiza paka uwanjani
FB_IMG_1610278902500.jpg
 
kumbe umesikia tetesi hauna uhakika.
 
Yanga haiwezi kuipiku Simba katika kipengele cha Mashabiki wa Kizazi kipya wajao. Wewe fikiria toka Mwaka 1998 Yanga haijawahi kuingia hatua ya Makundi ya Champions League. Wakati huo huo hata watoto wa Mwaka 1992 wanajua ilifika hadi fainali ya CAF, Watoto wa Mwaka 2003 wanajua Simba alimtoa Zamalek akatinga Makundi ya Champions League. Watoto wa Mwaka 2019 wanaijua Simba ilivyokuwa na Misemo ya Kibabe NEXT LEVEL, DO OR DIE nk.
Na sasa watoto wa 2021 wooote wanaimba WAR IN DAR.... Simba ina nguvu kubwa sana ya Mashabiki wenye IQ kubwa ndio maaana mipango ya Nje ya Uwanja inatiki vzuri usiogope chochote Lunyansi wako vzuri.
 
Baba mwenye familia na wake wawili unakuwaje kama Kitenge?dunia ina maajabu
 
Bahati ya kubebwa na waamuzi usiitegemee sana.
Wale wacheza. Mieleka akina Lamine Moro wakikutana na waamuzi makini watakuwa wanacheza dakika 20 wanapigwa umeme.
Kwani kwenye Ligi ni Timu gani ambayo haijawahi kufungwa mpaka mzunguko wa kwanza ulipoisha? Simba au Yanga
 
Back
Top Bottom