Njama za Yanga kuharibu mechi za Simba

Njama za Yanga kuharibu mechi za Simba

Nimepata tetesi kuwa kuna timu ya watu wa yanga waliojipanga kufanya matukio ya kuchafua taswira ya mpira wa Tanzania hususan wakati Simba wanacheza.

Tunaendelea na uchunguzi kwani kwa taarifa kutoka chanzo kinachoaminika,mikakati hii ina lengo la kupunguza kasi ya watoto wanaoikubali Simba utotoni kwa kuwatisha na vitu vya kusadikika.

Baada ya uchunguzi kukamilika,tutaleta ushahidi wa watu walioandaa mipango hiyo michafu dhidi ya Simba.

Kuna baadhi ya waandishi makanjanja walifika mahali wakaja na takwimu kabisa za jinsi ushindi wa Simba ulivyopatikana.Si jambo la kushangaza kwa mtu asiye na elimu akisema ushindi wa Simba ulipatikana nje ya uwanja kwa 60%.Ila ni jambo la ajabu mtu kama huyu kuaminiwa na kituo kama Wasafi FM.Ukiuliza vigezo vya kupata hizo 60% huku tukiona wachezaji wetu kama Luis wakicheza hadi kutaka kuvunjwa shingo,ukweli ni kwamba hawana.

Sasa kama mlileta paka na mkapigwa 4,hebu mechi yenu leteni fisi kabisa safari hii mtakataana.Maana aliyewalea ameshaondoka.Safari hii mtaona moto wa striker wawili
punguza wenge
 
Utelembwe akili zao zipo chini ya nyayo za MO walihadaa CHAMA CHA DEMOKRASIA na MAENDELEO kasaini kandarasi kumbe ndio walikuwa wanambembeleza!!
 
Kwani kwenye Ligi ni Timu gani ambayo haijawahi kufungwa mpaka mzunguko wa kwanza ulipoisha? Simba au Yanga
Kufungwa goli au kupoteza mechi? Kama ni kupoteza mechi, Simba na Azam si tu kwamba zilimaliza mzunguko wa kwanza, bali zilishawahi kumaliza ligi msimu mzima bila kupoteza mechi. Kwa Ligi Kuu Bara ni timu hizo mbili tu
 
Mbele Uweke striker wawili afu nyuma una mzee onyango,opponent wako ana Tuisila na saidoo, si unatafuta majanga tu [emoji1787][emoji1787]
Tuisila na Saido hawahawa wanaopambania sare na Prisons au kuna wengine wanakuja?
 
Hivi Tuisila ana magoli mangapi? Hivi timu gani imeruhusu mabao machache VPL?
Huulize haji
FB_IMG_1606135907595.jpg
 
Nimepata tetesi kuwa kuna timu ya watu wa Yanga waliojipanga kufanya matukio ya kuchafua taswira ya mpira wa Tanzania hususani wakati Simba wanacheza.

Tunaendelea na uchunguzi kwani kwa taarifa kutoka chanzo kinachoaminika, mikakati hii ina lengo la kupunguza kasi ya watoto wanaoikubali Simba utotoni kwa kuwatisha na vitu vya kusadikika.

Baada ya uchunguzi kukamilika, tutaleta ushahidi wa watu walioandaa mipango hiyo michafu dhidi ya Simba.

Kuna baadhi ya waandishi makanjanja walifika mahali wakaja na takwimu kabisa za jinsi ushindi wa Simba ulivyopatikana.Si jambo la kushangaza kwa mtu asiye na elimu akisema ushindi wa Simba ulipatikana nje ya uwanja kwa 60%. Ila ni jambo la ajabu mtu kama huyu kuaminiwa na kituo kama Wasafi FM. Ukiuliza vigezo vya kupata hizo 60% huku tukiona wachezaji wetu kama Luis wakicheza hadi kutaka kuvunjwa shingo, ukweli ni kwamba hawana.

Sasa kama mlileta paka na mkapigwa 4, hebu mechi yenu leteni fisi kabisa safari hii mtakataana.Maana aliyewalea ameshaondoka.Safari hii mtaona moto wa striker wawili
Yanga ndiyo wamewapeleka huku? Acha umbumbumbu
FB_IMG_1610475667029.jpg
 
Back
Top Bottom