Uchaguzi 2020 Njama zilizopangwa na upinzani kuichafua Serikali

Hao ni wapigakura wa aina gani ambao wapinzani wanaamini hawatawapigia kura lakini watakubali kuleta machafuko wakiwashawishi?
 
Umemaliza kuharisha? Machafuko mmeyaasisi wenyewe pale nyumba nyeupe kwani mlianza kuwaalika viongozi wote kuanzia ngazi ya mtaa, kata na tarafa ili kuwapa mbinu za kuleta vurugu katika Kika kiitwacho uchaguzi! Mlisahau Jambo moja la kitoto Sana ya kuwa; " hakuna Siri ya watu wawili" kwani nao ni ndugu zetu hivyo waliweka wazi Kika mlichojadili na kuagiza!
Hizi vurugu hazikwepeki kwasababu uongozi umeahindwa kazi na unatafuta namna ya kujibakisha madarakani kwa nguvu Tena bila bila uchaguzi! Na kwa jinsi mnavyokwiba fedha za wananchi na kuzificha ughaibuni mnatafuta mbinu za ukombozi Tena wa kulazimisha ili mkazitumbue mtakavyo! Ukibisha tuambie sababu mahsusi za kumwondoa cag!
 
Nitakutukana wewe yalama wa heed!!
 
Mkuu, hii pumba ina uzito wa tani ngapi? mi nadhani kama huna cha kuandika bora kusoma nyuzi za wenzako tu!
 
Upumbavu wa kiwango cha SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…