Wengi wanauza bwimbwi kama siyo kutumia kusamehewa kulipa kodi kupitisha biashara za wakora wafanyabiashara.Habari.
Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.
Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile analomilliki zaidi ya million 300.
Na kama tukisema sadaka mbona ni ngumu ku afford kwa sababu asilimia KUBWA ya watu wanaosali kanisa lake ni jobless na watu wasio na dira.
Hii iko sawa kwa Rose shaboka na mumuwe
Baba yake kiroho ni nani?Anatakatisha fedha za baba yake kiroho kutoka Zimbabwe.
Nakutafuta Sana Jose, Elli hapaDini biashara bro
Nchi yeyote inayo kumbatia mafisadi na waka rushwa ,basi jua mitume na manabii hewa watakuwa wengi, ili kutakasa biashara za madawa ya kulevya na utakatishaji pesa haramu kwa mgogo wa unabii na utume wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na maofisa wa serikali.Habari.
Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.
Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile analomilliki zaidi ya million 300.
Na kama tukisema sadaka mbona ni ngumu ku afford kwa sababu asilimia KUBWA ya watu wanaosali kanisa lake ni jobless na watu wasio na dira.
Hii iko sawa kwa Rose shaboka na mumuwe
Hakuna shida kama pesa anazipata kihalali wapo matajiri wengi waliondikwa kwenye biblia walikuwa matajiri waliopendezwa na MunguAsilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa watachomwa moto siku ya mwisho wanaishi maisha ya anasa sana tofauti na mafundisho ya yesu kristo yaani kutopenda pesa, kuwa na kiasi nk utakuta mchungaji anamiliki gari na nyumba vya bei mbaya lakini waumini wake wako kwenye umasikini wa kutisha. Very sad
Uebert Angel ambae ni raia wa Zimbabwe na Uingereza.Baba yake kiroho ni nani?
Hakuna cha moto mzee. Wanakula bata mwamwi, na akifa imeisha hiyo.Asilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa watachomwa moto siku ya mwisho wanaishi maisha ya anasa sana tofauti na mafundisho ya yesu kristo yaani kutopenda pesa, kuwa na kiasi nk utakuta mchungaji anamiliki gari na nyumba vya bei mbaya lakini waumini wake wako kwenye umasikini wa kutisha. Very sad