Nje na Uchungaji, Tony Kapola anafanya biashara gani ya kumpa utajiri?

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Habari.

Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.

Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile analomilliki zaidi ya million 300.

Na kama tukisema sadaka mbona ni ngumu ku afford kwa sababu asilimia KUBWA ya watu wanaosali kanisa lake ni jobless na watu wasio na dira.

Hii iko sawa kwa Rose shaboka na mumuwe
 
Wengi wanauza bwimbwi kama siyo kutumia kusamehewa kulipa kodi kupitisha biashara za wakora wafanyabiashara.
 
Makanisa mengi yanaweza kutumika kwa money laundering kwa sababu hela zinaingia bila maelezo na zikishaingia humo zinakuwa hela halali zinaweza kutakatishwa.

Mchungaji anaweza kupozwa na chake cha juu afanye kazi ya kutakatisha pesa chafu.
 
Asilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa watachomwa moto siku ya mwisho wanaishi maisha ya anasa sana tofauti na mafundisho ya yesu kristo yaani kutopenda pesa, kuwa na kiasi nk utakuta mchungaji anamiliki gari na nyumba vya bei mbaya lakini waumini wake wako kwenye umasikini wa kutisha. Very sad
 
Habari.

Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.

Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile analomilliki zaidi ya million 300.

Na kama tukisema sadaka mbona ni ngumu ku afford kwa sababu asilimia KUBWA ya watu wanaosali kanisa lake ni jobless na watu wasio na dira.

Hii iko sawa kwa Rose shaboka na mumuwe
Nchi yeyote inayo kumbatia mafisadi na waka rushwa ,basi jua mitume na manabii hewa watakuwa wengi, ili kutakasa biashara za madawa ya kulevya na utakatishaji pesa haramu kwa mgogo wa unabii na utume wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na maofisa wa serikali.
Usipo elewa hilo basi rudi tuition.
 
Asilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa watachomwa moto siku ya mwisho wanaishi maisha ya anasa sana tofauti na mafundisho ya yesu kristo yaani kutopenda pesa, kuwa na kiasi nk utakuta mchungaji anamiliki gari na nyumba vya bei mbaya lakini waumini wake wako kwenye umasikini wa kutisha. Very sad
Hakuna shida kama pesa anazipata kihalali wapo matajiri wengi waliondikwa kwenye biblia walikuwa matajiri waliopendezwa na Mungu
 
Asilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa watachomwa moto siku ya mwisho wanaishi maisha ya anasa sana tofauti na mafundisho ya yesu kristo yaani kutopenda pesa, kuwa na kiasi nk utakuta mchungaji anamiliki gari na nyumba vya bei mbaya lakini waumini wake wako kwenye umasikini wa kutisha. Very sad
Hakuna cha moto mzee. Wanakula bata mwamwi, na akifa imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom