Verified
Senior Member
- Apr 11, 2013
- 117
- 377
Mungu nijalie demu mpenda pesa
Kila siku nipigane kuwa Bakhresa
asinipende mimi apende Verosa
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
Sitaki demu wa Kitanga jioni moja kanga, tayari amejipanga kwa mabusu mangapi
Demu nayemtaka Manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza shingapi