Software (programming), cyber securityhii kazi imetajirisha vijana kwenye sekta ya IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili wanajenga, n.k.
Soko lao lipo kwenye Maduka, Stoo / Godowns, nyumba za wazito, n.k.
Nje ya hii kitu kuna sehemu gani nyingine imeweza kuwa mkombozi kwa IT wa bongo ?
Kwa ulaya inalipa lakini kwetu Bongo bado sana,Software (programming), cyber security
Kufunga CCTV camera sio mpaka huwe mtu wa IT! Watu wa IT wenye ukwasi ni wale walioajiriwa na taasisi kubwa za IT ulimwenguni au mitandaobya simu! Nje ya hapo tiamajitiamaji! Software Developer ingewatoa ila hawajui marketing!View attachment 3165360
View attachment 3165364
IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida.
Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili wamejenga, n.k.
Soko lao lipo kwenye Maduka, Stoo / Godowns, nyumba za wazito, n.k.
Nje ya hii kitu kuna sehemu gani nyingine imeweza kuwa mkombozi kwa IT wa bongo ?
Cyber ilikuwa haina uzito, but to 2018 rise startedKwa ulaya inalipa lakini kwetu Bongo bado sana,
Programming tupo nyuma sana, ndio maana ni ngumu kukuta software / apps za kibongo na wengi wakihitaji huduma hii wanatumia IT wa nje ya nchi.
Cyber security kwa bongo haina uzito kabisa