Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini?

Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini?

Diamond 45%,Kusaga 53% ,hao ni bussiness partiner,at the end of the day wote ni wafanyabiashara,hela ikingia wanagawana based on their percentage.Ndio dunia inavyoenda Jordan (Michael Jordan) na Nike,Yeezy (Kanye West) na Addidas ,mmoja ana fame (Diamond & Wasafi) mwengine ana mtaji (Kusaga).
Umeshafuatailia soko la Diamond karanga ?
 
Akili ya mtu ama mind hutambulishwa zaidi na matendo ama maamuzi ya mtu katika masuala mbalimbali. Na katika tabia na mienendo ya matamanio mtu akizama zaidi huwa mlevi na huenda akawa ameathiriwa na tabia hizo ama addict. Tokea nimeanza kuzisikia nyimbo za huyu anaitwa kila siku najiuliza kichwani make kuna nini cha ziada? Uwezo wake wa kufikilia na kuamua.

Na hili ni tatizo la malezi, makuzi ama nini? Tatizo ni ukosefu wa elimu ama ni nini hasa, kinachlkela zaidi ni aina ya maneno ama lugha katika nyimbo zake, yote inagusia tendo la ndoa, namwona mtu alive addicted kama wabwia unga na pombe. Hakika naye anahitaji msaada wa haraka, aelimishwe maisha ni nini na kuwa msanii ni nini
Soko la mziki ndio linataka hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani soma la Sanaa has a Sanaa ya mziki haukuwai kulisoma....Sanaa Mara nyingi ili ipate Adhira ya kutosha lazima kusoma ala za nyakati za mazingiraaa....Kipind cha nyuma kuna msanii kama mh.Temba yeye alikuwa ni kuimba ishu za misosi tu...."Ohoooio weka mishikaki kachumbali iwe shwaali",leo Domo anaimba mapenzi kwa sababu watu wanaangaikia mapenzi....next up ucomming musician atakuja na ishu nyingine....that is it.
 
Wanakuja Watetezi wake kwa kauli za "Diamond ana hela na mafanikio kukuzidi wewe" "kila mtu na maisha yake" lkn simamia papo hapo/kuwa na msimamo.

Kama mapenzi umpa mtu hela haya
 
Hakuna mwenye tatizo na nyimbo za mapenzi na ndo maana wapo akina Linah, Vanessa, Aslay n.k wanaimba sana kuhusu mapenzi na jamii inawapokea vizuri sana si tu kwa vile wanaimba bali wanaiheshimu hadhira na jamii yao. Sijui kama unajua Diamond anavyokudharau pasipo mwenyewe kujitambua kwasababu anakutukana kupitia kuimba na bado meno yote yako nje unatamani kumlamba miguu
 
Tatizo fursa..... watanzania ndo wanachopenda kusikia toka kwake..... kwani we unaonaje?
Wenye kufikiria na kubehave kama yeye ni role mode wao, sema "mashabiki wake" na si watanzania. Watanzania tusiotetemekea mtu kisa ana vipesa tupo na hatupotezi focuses zetu principally
 
Wanakuja Watetezi wake kwa kauli za "Diamond ana hela na mafanikio kukuzidi wewe" "kila mtu na maisha yake" lkn simamia papo hapo/kuwa na msimamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu, vijana ambao 24/7 wanawaza uchi ila hawana uwezo wa kuwaza namna gani mtu anaweza kuingiza 100 kwa siku ndo vijeba wa huyu mpenda uchi na addict wa wanawake ...simply Mr. Womaniser
 
Asante Kenya kwa kudeal na huyu mshenzi malaya
 
Diamond 45%,Kusaga 53% ,hao ni bussiness partiner,at the end of the day wote ni wafanyabiashara,hela ikingia wanagawana based on their percentage.Ndio dunia inavyoenda Jordan (Michael Jordan) na Nike,Yeezy (Kanye West) na Addidas ,mmoja ana fame (Diamond & Wasafi) mwengine ana mtaji (Kusaga).
Kuna chochote. Wasingegombana. Ni mawazo tu. Walimfuta kuulizia njinsi ya kupitisha kituo. Yale mambo aliyoyatoa kaburini Kinondoni mains wa Kibonde yalikuwa Tana mlenga Diamond Wasafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom