Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini?

Diamond ni mwanamuziki,ni mfanyabiashara,
MTU ambaye aliweza kutoa millioni 70,kusaidia wasiojiweza,unauliza anaweza nini?
Waulizie wasomi wenye Shahada zao,wanaweza nini?mbali na kuongea kiswaenglish!
Wewe mwenyewe unaweza nini?
Diamond,kijana mwwnye elimu ya darasa LA saba,Leo ni mwanamuziki tajiri,anamiriki kampuni,ambayo imeajiri wenye shahada kibao!unauliza anaweza nini?ameweza kutumia kipaji chake kutengeneza pesa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mapenzi, jamaa anauwezo wa kukulisha milo mitatu wewe na familia yako nzima kuanzia sasa mpaka mtaporudisha namba kwa mungu baba!
 
I do not endorse diamond in any way, ila mwanaume kumdiscuss mwanaume mwenzio ni dalili mbaya sana. Stop this, get help.

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Wewe ukitoa kila kitu wafanya una kingine kipi cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…