Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Kwani hayo maswali unayoulizwa hapa hujawahi ulizwa kwenye nyuzi zingine? Mbona unayajibu? Kwanini usiwaelekeze wakafate majibu ya hayo maswali kwenye hizo nyuzi zingine ambazo ulikua ukijibu?

Mi nadhani probably ni maswali mepesi kwa upande wako na ndio maana unajibu, ila swali la kuthibitisha mungu yupo huwenda ni swali gumu ambalo huna majibu sahihi na ndio maana hulijibu

Na sio kweli kua umewahi kuthibitisha, hata huko kwenye hiyo mijadala ulikua uanaishia kusema hivyo hivyo kua tayari nilishawahi kuthibitisha

Kama una pinga kua hujawahi kuthibitisha weka nukuu ya uzi ukiambatanisha na post ambayo ulithibitisha mungu yupo
 
Shida ni kuw umesoma angle moja tu ya philosophy ambayo ni logic tena kwa terminology tu.
Philosophy ni pana jarbu kuielewa kwa mapana yake
Swali lako liko nje ya topic, wala haihitaji elimu ya philosophy. Hizo ni kanuni za kimjadala
 
Poa.
 
Ninafuga njiwa WENGI MNO na kila ninapokuwa na SHIDA nzito huamka saa 11 na kutoka na kapu langu lenye mchanganyiko wa MTAMA ,ULEZI ,MCHELE ,CHOROKO NA NGANO NZIMA....

Ninasimama uwani na kumtaja muumba mbingu na nchi kwa UTULIVU mno huku nikimuomba aniondolee MATATIZO YANGU kwa huruma kuu kama ninavyowahurumia hawa viumbe ninaowafuga.....NINAWAMWAGIA MZIGO WOTE ULIOKO KAPUNI na kuwawekea maji masafi katika makopo yao na kurudi ndani kujiandaa kutoka.....

Ni mwaka wa 5 huu amini usiamini kila ninapofanya hayo MAMBO HUFUNGUKA KIMAAJABU.....

Wewe nione mjinga tu.......


ALMIGHTY GOD(SUPERNATURAL POWER) DOES EXIST

#YetzerHaTov
 
Hujalielewa swali, sali halijauliza mambo

Swali ni unaweza kuthibitisha mungu yupo? Thibitisha
Unarudia jambo nililo lijibu zaidi ya mara kumi humu.

Siyo kwamba naweza bali nimesha thibitisha zaidi ya mara kumi humu.
 
Unarudia jambo nililo lijibu zaidi ya mara kumi humu.

Siyo kwamba naweza bali nimesha thibitisha zaidi ya mara kumi humu.
Humu wapi?

Ulimthibitishia nani? kwasababu mimi hujawahi kunithibitishia

Kama jibu ni refu basi nenda ka copy huko ulikojibu uje uliweke hapa tulione
 
Humu wapi?

Ulimthibitishia nani? kwasababu mimi hujawahi kunithibitishia

Kama jibu ni refu basi nenda ka copy huko ulikojibu uje uliweke hapa tulione
Unanipotezea muda,halafu unauliza maswali ya kijinga sana.
 
Mara moja tu, thibitisha hapa wote tuuone huo uthibitisho
Ishazidi mara moja na nimekwambia zaidi ya mara kumi.

Kwanza swali nililo kuuliza umekosea kulijibu kwa muktadha wa mtiririko wa kile ninacho kisema.

Sasa tuliza akili uwe unajibu swal ikulingana na munasaba husika.
 
Mkuu umeeleza ki ujumla sana maana uko vizuri hebu jaribu kutulia uje ueleze kwa upana uwepo wa Sir God

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Ishazidi mara moja na nimekwambia zaidi ya mara kumi.

Kwanza swali nililo kuuliza umekosea kulijibu kwa muktadha wa mtiririko wa kile ninacho kisema.

Sasa tuliza akili uwe unajibu swal ikulingana na munasaba husika.
Sio kweli kua umewahi kujibu, hujawahi kujibu na ndio maana swali hili limeulizwa hapa.

Huko unakosema umejibu kwanini umeshindwa hata kuweka post namba ya uzi ili wote tulione hilo jibu?

Weka hata screenshot ya hilo jibu vinginevyo we ni mzushi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…