sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali.
timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi
timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi
timu ikiishia nusu fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele fainali hawapewi mpaka wamalize fainali.
Yaani mfano Yanga kwa sasa ina uwezo wa kupewa hela ya mshindi wa kwanza, au wa pili mpaka fainali imalizie. Ila siyo hela za makundi, robo fainali, na nusu fainali.
Sasa nauliza, je kuna pesa huwa caf wanazipa team zinazosonga mbele kwajili ya maandalizi, usafiri, malazi, n.k ?