Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
- Thread starter
-
- #21
Nimeweka njegere na maji nusu saa naona haziivi nikasema potelea mbali nikachanganya nyanya humo humo kitunguu nafunika kama nusu saa kufunua sielewi ni nn nikashusha chini nikamwaga nikaenda kununua chips nikalalaKhaaaa
We ni mzembe itakuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeshindwa wapi??
Nashukuru sana bosspole sana
nyama njegere:
hatua za upishi:
- mahitaji:-
- nyama
- njegere
- nyanya
- vitunguu
- pilipili hoho
- karoti
- chumvi
- pilipili manga kidogo (sio lazima)
- kitunguu swaumu na tangawizi
- mafuta.
had hapo mbona yako ipo tayari kwa kuliwa.
- kataka nyama yako osha kisha changanya kitunguu swaumu na tangawizi na pilipili manga chumvi then weka jikoni (usiweke maji had nyama yako ianza kuchemka)
- osha njegere zako na uzichemshe kidogo tu ( kama dakika 5 hivi maana zinawai kuiva na zitaiva wakati wa kuunga nyama yako)
- katakata nyanya zako vipande vidogo vidogo, kata karoti na hoho zako vipande vidogo vidogo.
- nyama yako ikiiva itoe. bandika sufuri unayoitumia kuungia weka mafuta kiasi yakipata moto kaanga vitunguu vyako vikianza kuwa vya brown weka kitunguu swaumu na tangawizi (kidogo tu ) then weka nyanya zako. vipike kwa moto mdogo had ziive.
- nyanya zikiiva weka nyama yako, karoti na njegere vichanganye vizuri then ongeza kidogo supu ya nyama then acha ichemke kama dakika 3 alaf uweke hoho zako (hoho zina wekwa mwishon ili zisiive sana zikapoteza radha) utaacha vichemke kwa mda kidogo(dakika 2-3 zinatosha)
- unaweza ongeza supu kama utaona haikutoshi.
WALI:
Mahitaji:
Jinsi ya kipika:
- mchele
- iliki
- chumvi
- kitunguu
- karoti
- mafuta
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
- osha mchele wako.
- bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
- vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
- ukiiva unaweza zitoa iliki.
Kitunguu swaumu na tangawizipole sana

Nusu saa ni dogoNimeweka njegere na maji nusu saa naona haziivi nikasema potelea mbali nikachanganya nyanya humo humo kitunguu nafunika kama nusu saa kufunua sielewi ni nn nikashusha chini nikamwaga nikaenda kununua chips nikalala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
sio sana Najaribu tuUpo vizuri
What the fuc*k!Wali
Mahitaji:
Jinsi ya kipika:
- mchele
- iliki
- chumvi
- kitunguu
- karoti
- mafuta
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
- osha mchele wako.
- bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
- vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
- ukiiva unaweza zitoa iliki.
🤣🤣🤣🤣 itakuwa amecopy googleWhat the fuc*k!
Wali nao unaweka ma-vitunguu maji, ma-vitunguu swaumu, ma-tangawizi, ma-karoti?
What the hell is this?
Wali una mapishi mengi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa amecopy google
Ila wali kitunguu maji unaweka, na uwa unanukia hatari
😂😂🤣🤣🤣🤣 Mchele ni kama ngano una namna nyingi ya upishi.What the fuc*k!
Wali nao unaweka ma-vitunguu maji, ma-vitunguu swaumu, ma-tangawizi, ma-karoti?
What the hell is this?
Hao watakuwa wamezoea kuchemsha mcheleWali una mapishi mengi.
Hapana bana, comment yako sikuiona mie.Hao watakuwa wamezoea kuchemsha mchele
Yeye ndio alikosea kusoma ila hvyo unaweka kwenye nyama sio wali labda kama unapika pilau ndio utavitumiaHapana bana, comment yako sikuiona mie.
Yule aliposema umeweka na vitunguu saumu na tangawizi we unadhani mchezo? 🤣🤣🤣
Kuna wali wa kuchemsha
Kusteam
Wali wa kitunguu
Wali maua…
Si unaona👆👆 yeye ndio alichanganyapole sana
nyama njegere:
mahitaji:-
hatua za upishi:
- nyama
- njegere
- nyanya
- vitunguu
- pilipili hoho
- karoti
- chumvi
- pilipili manga kidogo (sio lazima)
- kitunguu swaumu na tangawizi
- mafuta.
had hapo mboga yako ipo tayari kwa kuliwa.
- kataka nyama yako osha kisha changanya kitunguu swaumu na tangawizi na pilipili manga chumvi then weka jikoni (usiweke maji had nyama yako ianza kuchemka)
- osha njegere zako na uzichemshe kidogo tu ( kama dakika 5 hivi maana zinawai kuiva na zitaiva wakati wa kuunga nyama yako)
- katakata nyanya zako vipande vidogo vidogo, kata karoti na hoho zako vipande vidogo vidogo.
- nyama yako ikiiva itoe. bandika sufuri unayoitumia kuungia weka mafuta kiasi yakipata moto kaanga vitunguu vyako vikianza kuwa vya brown weka kitunguu swaumu na tangawizi (kidogo tu ) then weka nyanya zako. vipike kwa moto mdogo had ziive.
- nyanya zikiiva weka nyama yako, karoti na njegere vichanganye vizuri then ongeza kidogo supu ya nyama then acha ichemke kama dakika 3 alaf uweke hoho zako (hoho zina wekwa mwishon ili zisiive sana zikapoteza radha) utaacha vichemke kwa mda kidogo(dakika 2-3 zinatosha)
- unaweza ongeza supu kama utaona haikutoshi.
WALI:
Mahitaji:
Jinsi ya kipika:
- mchele
- iliki
- chumvi
- kitunguu
- karoti
- mafuta
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
- osha mchele wako.
- bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
- vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
- ukiiva unaweza zitoa iliki.
Tafuta mtu akufundishe kwa vitendo. Au ingia youtubeMrejesho nimeshindwa kupika ni aibu tu[emoji21][emoji22][emoji22]