Njegere nyama Wali

Njegere nyama Wali

Khaaaa
We ni mzembe itakuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umeshindwa wapi??
Nimeweka njegere na maji nusu saa naona haziivi nikasema potelea mbali nikachanganya nyanya humo humo kitunguu nafunika kama nusu saa kufunua sielewi ni nn nikashusha chini nikamwaga nikaenda kununua chips nikalala

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
pole sana

nyama njegere:
  1. mahitaji:-
  2. nyama
  3. njegere
  4. nyanya
  5. vitunguu
  6. pilipili hoho
  7. karoti
  8. chumvi
  9. pilipili manga kidogo (sio lazima)
  10. kitunguu swaumu na tangawizi
  11. mafuta.
hatua za upishi:
  • kataka nyama yako osha kisha changanya kitunguu swaumu na tangawizi na pilipili manga chumvi then weka jikoni (usiweke maji had nyama yako ianza kuchemka)
  • osha njegere zako na uzichemshe kidogo tu ( kama dakika 5 hivi maana zinawai kuiva na zitaiva wakati wa kuunga nyama yako)
  • katakata nyanya zako vipande vidogo vidogo, kata karoti na hoho zako vipande vidogo vidogo.
  • nyama yako ikiiva itoe. bandika sufuri unayoitumia kuungia weka mafuta kiasi yakipata moto kaanga vitunguu vyako vikianza kuwa vya brown weka kitunguu swaumu na tangawizi (kidogo tu ) then weka nyanya zako. vipike kwa moto mdogo had ziive.
  • nyanya zikiiva weka nyama yako, karoti na njegere vichanganye vizuri then ongeza kidogo supu ya nyama then acha ichemke kama dakika 3 alaf uweke hoho zako (hoho zina wekwa mwishon ili zisiive sana zikapoteza radha) utaacha vichemke kwa mda kidogo(dakika 2-3 zinatosha)
  • unaweza ongeza supu kama utaona haikutoshi.
had hapo mbona yako ipo tayari kwa kuliwa.

WALI:
Mahitaji:
  • mchele
  • iliki
  • chumvi
  • kitunguu
  • karoti
  • mafuta
Jinsi ya kipika:
  • osha mchele wako.
  • bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
  • vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
  • ukiiva unaweza zitoa iliki.
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
Nashukuru sana boss

Kitunguu swaumu na tangawizi
Napenda nivikute kwenye maharage / kande 😋
 
Nimeweka njegere na maji nusu saa naona haziivi nikasema potelea mbali nikachanganya nyanya humo humo kitunguu nafunika kama nusu saa kufunua sielewi ni nn nikashusha chini nikamwaga nikaenda kununua chips nikalala

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nusu saa ni dogo
Basi nunua pressure cooker uwe unapika kwa muda mfupi
 
Wali
Mahitaji:
  • mchele
  • iliki
  • chumvi
  • kitunguu
  • karoti
  • mafuta
Jinsi ya kipika:
  • osha mchele wako.
  • bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
  • vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
  • ukiiva unaweza zitoa iliki.
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
What the fuc*k!

Wali nao unaweka ma-vitunguu maji, ma-vitunguu swaumu, ma-tangawizi, ma-karoti?

What the hell is this?
 
🤣🤣🤣🤣 itakuwa amecopy google

Ila wali kitunguu maji unaweka, na uwa unanukia hatari
 
Usisahau nazi au peanuts butter kwenye njegere kama utaziunga.

#MaendeleoHayanaChama
 
What the fuc*k!

Wali nao unaweka ma-vitunguu maji, ma-vitunguu swaumu, ma-tangawizi, ma-karoti?

What the hell is this?
😂😂🤣🤣🤣🤣 Mchele ni kama ngano una namna nyingi ya upishi.
Ila hapo kwenye kitunguu swaum na tangawizi umeongezea ww mm sijaviweka Rudi usome vizuri
 
Hapana bana, comment yako sikuiona mie.
Yule aliposema umeweka na vitunguu saumu na tangawizi we unadhani mchezo? 🤣🤣🤣

Kuna wali wa kuchemsha
Kusteam
Wali wa kitunguu
Wali maua…
Yeye ndio alikosea kusoma ila hvyo unaweka kwenye nyama sio wali labda kama unapika pilau ndio utavitumia
pole sana

nyama njegere:

mahitaji:-
  1. nyama
  2. njegere
  3. nyanya
  4. vitunguu
  5. pilipili hoho
  6. karoti
  7. chumvi
  8. pilipili manga kidogo (sio lazima)
  9. kitunguu swaumu na tangawizi
  10. mafuta.
hatua za upishi:
  • kataka nyama yako osha kisha changanya kitunguu swaumu na tangawizi na pilipili manga chumvi then weka jikoni (usiweke maji had nyama yako ianza kuchemka)
  • osha njegere zako na uzichemshe kidogo tu ( kama dakika 5 hivi maana zinawai kuiva na zitaiva wakati wa kuunga nyama yako)
  • katakata nyanya zako vipande vidogo vidogo, kata karoti na hoho zako vipande vidogo vidogo.
  • nyama yako ikiiva itoe. bandika sufuri unayoitumia kuungia weka mafuta kiasi yakipata moto kaanga vitunguu vyako vikianza kuwa vya brown weka kitunguu swaumu na tangawizi (kidogo tu ) then weka nyanya zako. vipike kwa moto mdogo had ziive.
  • nyanya zikiiva weka nyama yako, karoti na njegere vichanganye vizuri then ongeza kidogo supu ya nyama then acha ichemke kama dakika 3 alaf uweke hoho zako (hoho zina wekwa mwishon ili zisiive sana zikapoteza radha) utaacha vichemke kwa mda kidogo(dakika 2-3 zinatosha)
  • unaweza ongeza supu kama utaona haikutoshi.
had hapo mboga yako ipo tayari kwa kuliwa.

WALI:
Mahitaji:
  • mchele
  • iliki
  • chumvi
  • kitunguu
  • karoti
  • mafuta
Jinsi ya kipika:
  • osha mchele wako.
  • bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
  • vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
  • ukiiva unaweza zitoa iliki.
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
Si unaona👆👆 yeye ndio alichanganya
 
1668812783748.png
 
Back
Top Bottom