Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Binamu punguza munkari, nataka nikasarandie then ntakupasia. Kizuri kula na nduguyo.
kuwa serious kidogo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu punguza munkari, nataka nikasarandie then ntakupasia. Kizuri kula na nduguyo.
tena mie ntabisha sana tuu, heshima muhimu nyumbani lakini sio kitandani! umenipata? mie hata niletewe style gani culizi umeipatia wapi wala kimepanda kimeshuka, na yeye vile vile.....ni moja tu hiyo mnayoizungumziaga ndio nyumbani kwangu marufuku milele.....
sema na wewe dada....anadhani wote wapo kwa ajili hiyo tu?...halafu umepotea sana mrembo nini shida?
ma bar maid ni wazuri jamani! halafu wana uzoefu wa majambozi kwa kwenda mbele! Wanawapita kwa mbali mawaifu kwa tips & tricks!
Anyways play safe! Kila bar maid mmoja (kwa mfano sinza) hutembea na wanaume KUMI kwa wiki kwa wastani!

Mkuu chris mbona stori nyingi husemi hako ka-mbulu kako wapi tuwekeze????
Hata wewe nawe unanitilia mashaka? Ni nani atakayebaki kuniamini kama anavyoniamini mama mtoto wangu?
HAHAHAAAAAAA, ulishafikaga pale Rose Garden mkuu??
miaka flani wakati inaanza ile bar ilikua na wahudumu wenye viwango vya kimataifa kama vya ISO!!, yani masela kibao tulikua tunajichanganya pale, nomaaa!.
Mkuu, hapo unakaribia kufika maeneo ya bar lilipotokea timbwili. Manake ndio njia hiyohiyo.
Unajua Chrispin am trying to think kuhusu unayoaandika hapa,najaribu kutafakari kwamba wewe utakuwa mtu wa aina gani na unaishi maisha ya aina gani,maana kila nikisoma michango yako unayotoa hapa natatizika sana,sasa najiuliza ni kweli una hii life style au una-changamsha mada?