Njemba zinapotwangana kwa penzi la baamedi!

Chriss,chriss, nikuulize swali una maana gani unaposema kuwa kizuri kula na ndugu yako?

Mbona iko straight forward? Unapopata kitu kizuri, mshirikishe ndugu yako. Mabaya mshirikishe adui yako. Kama wewe ni rafiki yangu, karibu tushirikiane mambo mazuri.
 
Nipo Malawi for two weeks bado nina siku8 nirudi bila shaka ntakuta usha-onja kama si kudoea kabisa, so nafikiri si mbaya.....Nshakujibu/PM kaka!
 
Mmhh kazi kweli kweli,nicheke mie
 
Nipo Malawi for two weeks bado nina siku8 nirudi bila shaka ntakuta usha-onja kama si kudoea kabisa, so nafikiri si mbaya.....Nshakujibu/PM kaka!

Siku nane mkuu utakuta nshamaliza, na wapwa fidel na nguli watakuwa nao wameshatoka kwenye foleni. Utajisevia kilaiiiini.
 
uongo mukulu baamedi sometimes wanalipa hasa ukiwa na maudhi nyumbani,kwanza ni cheap halafu ni kama loto au vocha unakwngua na kupata cradit hapohapo ukimaliza biashara imeisha no comitments, acha jamaa wazitwange hivi videmu ukivikuta vizoefu usipoangalia utazichapa hata na mdogo wako,hahahahaaaaaaa!
 
Mkuu kwa hiyo unaenda kukomoa au? C wenzio tunatumia kuwe na maudhi kusiwe na maudhi. Ni maswala ya kubadili ladha na kuongeza uzoefu. Hahahaha!
 
Sasa mpwa mbona unanibania kuniambia hiyo Bar ipo sehemu gani nipitie nikathaminishe.
 
...mambo ya kugombea ukoko hayo kwa mama lishe,...aibu, aibu, aibu...

...hii ni sawa tu na wale madada wanaompigania mume wa mtu!
 
Ukimwi utakwisha kwa mwendo huu? Watu wanafikiri kwa kutumia dhakari zao.
 
Mkuu kwa hiyo unaenda kukomoa au? C wenzio tunatumia kuwe na maudhi kusiwe na maudhi. Ni maswala ya kubadili ladha na kuongeza uzoefu. Hahahaha!

mhhh cjui jamani, humu wakati mwingine unaweza kukacrika kabisa.
 
Ndo maana ile thread ya jana uliikacha? Ile ya ingekuwaje kama Nyamayao angekuwa he kwa siku moja?
 
Back
Top Bottom