Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia nyingine ni kununua battery-powered car.
Gari ununue mill 30. mafuta lt 1850 unapata homa.
hujaelewa nini hapo? jamaa kakopi na ku-paste. ni asilimia ndogo sana ya wabongo wanaotumia akili zao.Taarifa ni nzuri ila ulipoharibu humu ndani ni kutaja EPA. Ungeandika kirefu chake tu
Hahahah....ukifikisha 100% inamaana mafuta hayatokata!!?
Hakuna pesa ndogo pia hakuna pesa kubwa.
Wazee wa nyoka ni noma, yaani ukisafiri na dereva mpiga nyoka mbona utakoma kwa balance mafuta hata kama budget inaruhusu, kwenye vumbi anaachia nusu dirisha kisa asiwashe kiyoyozi alafu ukute ni mtu mzima sasa kama baba yako ni balaa maana hata kumwambia kila mara unakua unaogopaWazee wa kupiga nyoka mpoooooo...?.
Na je kama foreni ni kubwa mtu akipaki baa na kunywa bia ili kusubiri foreni ipungue ndipo aondoke si itasaidia kupunguza matumizi ya mafuta?
asante kwa kutafsiri kwa kiswahili
hyo makala nmewahi isoma lakini kwa kiingereza
hujaelewa nini hapo? jamaa kakopi na ku-paste. ni asilimia ndogo sana ya wabongo wanaotumia akili zao.
kwani ni sifa kukopi kazi za watu na kupaste? hizi bangi hizi zinatumalizia vijana kwa kweli.Ya kwako ulocopy na kupaste iko wapi??? Wabongo bwana!