Njia 10 za kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari lako

Hongera kwa kuishukuru familia yako kwa kukuvumilia wakati ukiandika!
 
labda nitoe somo kuhusu air conditioning, ukiwa katika mwendo mdogo sana hasa foleni au umesimama unangoja mtu,engine inakua low idle hivyo ukiwasha ac engine ina feel uzito wa compressor . engine huongeza ulaji wa mafuta, lakini gari ikiwa iko mwendo kasi ingine inakua high rev. mzigo wa ac unakua ni mdogo sana kuusikia hivyo ac si chochote ktk ulaji wa mafuta. asanteni.
 
ECO Mode kwenye Subaru ndio kitu gani
 
Eco mode ni ipi asee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…