Njia 10 za Uchumba Salama

Umeandika ukweli mtupu japo kutekeleza hayo inahitaji kujitoa kweli kweli.
 
Ingia field afu leta hizo principles zako uone utaolewa lini.

Mahusiano ni kitu personal, acha kila mtu ayaendeshe yake vile aonavyo inafaa.
 
Sisi Wanaume tumekuelewa, ila singo maza wataendelea kuongezeka kwasababu wadada huwa hawaamini mapema
 
Hiyo namba 10 nitaikubali kwa sharti moja tu kwamba nitakapokuoa nikakuta ulishatumika tayari navunja ndoa.
Yamkini uko sahihi kwa msimamo wako. Lakini pia hautakuwa sahihi kumtafuta ambaye hajatumika kwa sababu nawe tayari umetumika kwa yule uliyevunja ndoa naye.
Hata mwanamke pia anapenda mwanaume ambaye hajatumika.

Iweje anataka ambaye hajatumika wakati tayari wewe umetumika kwa wanawake wengine?

Sina shaka wapo uliowatumia na wameolewa. Hata wewe pia utaoa aliyetumika. Naye atakuwa ametumika kwa wengine, sawa na wewe ulivyotumika kwa wengine.
 
Hakika umenena vizuri[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 10 haiwezekan eti mchumba afu ujamla haiwezekan
 
Hoja zako zinajipinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
kwa nini na wewe usiandike uzi wako alafu unyooshe icho kiswahili chako..... sisi tunaelewa acha maneno πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…