Njia 10 za Uchumba Salama

kwa nini na wewe usiandike uzi wako alafu unyooshe icho kiswahili chako..... sisi tunaelewa acha maneno πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ‘†
Tulia dawa ikuingie..πŸ˜‚πŸ˜œ
 
kwa nini na wewe usiandike uzi wako alafu unyooshe icho kiswahili chako..... sisi tunaelewa acha maneno [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji115]
Bora useme wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kiswahili chenyewe kimenyooka tu,yeye anataka kukipindisha
 
Tena nilikustahi tu ile siku sikuwa Kwenye mood ya kubishana.

Ile comment ungeandika leo ningekuchamba hadi ukome.
Wapi huwezi nichamba.. haya nichambe Sasa kama yesu hajaingilia Kati..πŸ˜…
 
Hongera sana, mengi uliyoyaandika pia ni maagizo kutoka kwa Mungu muumba wetu

Ila kwakweli kwa kizazi hiki cha sasa utapingwa na si bure hata kutukanwa.

''Avumiliaye mpaka mwisho atapata taji''

''Lisilowezekana kwa Binadamu kwa Mungu linawezekana'' hata kuishi bila Uzinzi pia inawezekana ukiwa na Mungu.
 
Amen[emoji4][emoji120][emoji120]
Akhsante kwa kunitia moyo

Ubarikiwe
 
Hapo namba 10 mkuu, umekosea sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…