Njia 10 za Uchumba Salama

Haa
Kwahiyo mkuu unataka kusema mimi mtoto??
Wanawake wapi wewe unaowasema?
Mbona wanawake ndio sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukijiona una mapenzi ya hvyo jua ni utoto tu ila ukikua utaacha, wanawake wengi wanafanana fanana hawajui ku consider kabisa thus y tunawawahi kwa kula tunda mapema ikiwezekana mimba kabisa af unamckilizia na hawezi kukusumbua kamwe [emoji3][emoji3]
 
Nyie ukatili wenu hamuuoni?
BTW usipende kuushinda ubaya kwa ubaya bali ushinde ubaya kwa wema.
Hatuna ukatili wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto unaishia miaka mingapi?
Bado msimamo wangu ni huo na sitaubadili..tena mimi si mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ukatili wenu hamuuoni?
BTW usipende kuushinda ubaya kwa ubaya bali ushinde ubaya kwa wema.
Hatuna ukatili wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ss kukula tunda ni ubaya huo? Mm nataka nkuoe ila ni lazima tufanye mazoezi wkt tunajuana kiundani, btw hata mkioana hakuna kinachobadilika zaidi ni kuhalalisha tu kwa Mungu, lkn pia we utakubali mmeo mtarajiwa akale tunda nje wkt ww upo?
 
Jamani ss kukula tunda ni ubaya huo? Mm nataka nkuoe ila ni lazima tufanye mazoezi wkt tunajuana kiundani, btw hata mkioana hakuna kinachobadilika zaidi ni kuhalalisha tu kwa Mungu, lkn pia we utakubali mmeo mtarajiwa akale tunda nje wkt ww upo?
Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa na si vinginevyo.
MUNGU si mjinga kutuambia tusizini...
Mimi mwanaume wangu afanye vyovyote tu anavyotaka kufanya huko nje kwa kisingizio Cha udhaifu..ila kamwe sitoki nje ya msimamo wangu wallah.
Tena mwanaume akishaanza kunitishia habari za kutoka nje namwambia nenda.
Na Hiyo itakuwa ndio tiketi ya kuachana.

Kama rizki ni yako basi itakuwa no need to hurry.
Mtu Kama anakupenda na anahofu ya Mungu Basi atasubiri.
Wrong is wrong even if everyone is doing it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisa mkuu, ila kwa dunia ya ss unapofanya mapenzi na mtu kabla ya kuoana faida zake ni kubwa, kwnz unaweza kumjua mtu tabia zake kabla ya ndoa na hilo ni jambo kubwa kuliko ndoa yenyewe.

Mana mtu kabla hujampa tunda lako anajifanya anakupenda na kukujali lkn ghafla ukimpa mtaanza kuzoeana na hapo ndipo utamjua ni mwanaume gn unayeenda kufunga naye ndoa.
Lakini pia kufanya kabla ya ndoa ni muhimu cz unaeza kubana af mwanaume akakubali lakini baada ya ndoa ucku wa kwanza mnafanya anagundua kwamba humtoshelezi kabisa yn maungo yako na yake hayaendani, ss kuepuka hii aibu ni bora mjuane mapema ibaki kurekebishana tabia tu cz tendo ndio ndoa yenyewe ilipo.

Na kwa wanaume, kufanya mapenzi kabla ya ndoa inatusaidia kumuweka karibu mwanamke unayetazamia kumuoa cz mtakuwa karibu na utazijua kwa undani kabisa tabia zake na hatoweza kujificha cz tendo hufanya wapenzi wajione ni mwili mmoja.
 
Kipi kinakufanya ujue maungo hayaendani???
Uzinzi.

Ni vema watu waache, rizki Kama ipo ipo tu,
Hizo porojo nyingi nyingi zako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi kinakufanya ujue maungo hayaendani???
Uzinzi.

Ni vema watu waache,rizki Kama ipo ipo tu,
Hizo porojo nyinginyingi zako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitoke nje ya mada kidogo: Mbona nikiangalia kama ile alama ya kijani ya kuwa online siioni kwako, au kuna option ya hiyo kitu?

Turudi kwenye mada, maungo kutoendana haijalishi ukubwa au udogo, naongelea damu haziendani yn utakuta joto lako na langu tofauti kabisa inapelekea kuona km sienjoy tendo tuwapo 6×6, ss hapo ndipo tatizo linapoanza kwa mwanaume kutafuta raha nje.

But this is not the case to men, huwa tunakubaliana na hali lkn c kwa wanawake wakija kugundua humlidhishi km yule jamaa yake basi ujue hamna ndoa hapo, na ndiyo maana nikasema nitakubali kutofanya tendo mpk ndoa ila tu na ww ukiwa hujawahi cz km hujawahi huijui ladha.
 
Unajuaje kama joto lipo tofauti???
Ni kitu gani kinakufahamisha???
Jibu ni uzinzi.

Naona unaenda ninapotaka.
Kuna kitabu fulani nitakiscan nikutumie usome, huko kote unakopita kumeelezewa vizuri mule kama madhara ya uzinzi.

Nje ya mada:nilibadilisha kwenye setting nikaweka hivyo boss,ila nilitumia browser na si App.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikumbushe kuhusu kukupa kitabu.
Hizo faida unazotoa zote ni uzinzi tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikumbushe kuhusu kukupa kitabu.
Hizo faida unazotoa zote ni uzinzi tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitabu wakati mwingine huwa wanaongea maneno ya kusadikika tu mkuu, this is because the book concept sometimes depends on author's subjectivity, hayo nnayokueleza ni things on ground na ndivyo ilivyo hivyo kwa asilimia kubwa.
 
Kitabu wakati mwingine huwa wanaongea maneno ya kusadikika tu mkuu, this is because the book concept sometimes depends on author's subjectivity, hayo nnayokueleza ni things on ground na ndivyo ilivyo hivyo kwa asilimia kubwa.
Kimeeleza kuhusu maandiko.
Maandiko ya Mungu ni ya kusadikika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida binadamu tunafata yaliyo kwenye maandiko hata elimu yetu ya darasani asilimia kubwa imetoka huko, ss kabla hatujaendelea tuwekane sawa hapa je hii ndoa ipo huko kwenye maandiko? Na ni kitabu gn icho naomba unisaidie mkuu.
Nimesema nitascan nikutumie.
Kwani wewe unadhani aliyeagiza ndoa ni nani?
Unaamini katika nini?
Quran au Bible?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…