Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa na si vinginevyo.
MUNGU si mjinga kutuambia tusizini...
Mimi mwanume wangu afanye vyovyote tu anavyotaka kufanya huko nje kwa kisingizio Cha udhaifu..ila kamwe sitoki nje ya msimamo wangu wallah.
Tena mwanaume akishaanza kunitishia habari za kutoka nje namwambia nenda.
Na Hiyo itakuwa ndio tiketi ya kuachana.
Kama rizki ni yako basi itakuwa no need to hurry.
Mtu Kama anakupenda na anahofu ya Mungu Basi atasubiri.
Wrong is wrong even if everyone is doing it.
Sent using
Jamii Forums mobile app