Njia 20 zilizothibitishwa za kumshawishi mwanamke akupende bila ya kumwambia

Njia 20 zilizothibitishwa za kumshawishi mwanamke akupende bila ya kumwambia

Yeye: Unafanya kazi gani?
Mimi: Ninatengeneza tengeneza vitu hapa na pale!!!! Hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufumba na kufumbua kindege kipo mti mwingine wenye maua mazuri
 
Hiyo namba 4 usije ukajaribu mkuu... kama ukijaribu basi kuwa makini...unaweza ukafall kwa uyo rafiko yako unayeact kama mnapendana....
 
Na mama bhokhe pia zinamhusu hizi? Maana ni kauzu haswaaa kiasi kwamba hata akifanyiwa romance utamsikia "unanirambaramba nini nithhhombhe nirare".
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hali yako ya kiuchumi ipoje...Wanawake wengi hasa wa kizazi hiki wanaangalia hapo kwanza wapate uhakika wa baadhi ya mambo yao. ..sasa we leta story za Juma na Uledi
 
Hizi ni Porojo mkuu Na kwa hawa wanawake wa kisasa ni non applicable, Njia ni mbili tu na zote zinataka Hela kwanza Uwe smart na classic kuanzia Simu, Nguo na Vinywaji au vyakula ulavyo public pawe panaeleweka hapo utapata type zile kali ila Hazina misimamo zinauza indirect

Njia ya pili kwa wale wadada wanaojiona wanajielewa japo mimi nasema hakuna mwanamke anaejielewa basi Hao ni intensive Care na kumpuuza (ignore) unampa care huku unapotezea walahi hachukui round tayari unatundika Chupi yake na ili umfaidi zaidi usimuweke kama first line lover, Mfanye rafiki tu na care za hapa na pale basi huyo unamla for lifetime, Nina wanawake wazuri ambao wanajiona wanajielewa nina watreat as friend huku nikiwala in background hata waingie kwenye ndoa siku nikitaka nikuita tu
 
Maisha ya mapenzi hayajawahi kuwa na formla na hizo mbinu na zingine nyingi sio kama zitafanya kazi kwa kila mwanamke nooo ni baadhi yao tu lazima usome mtu ukienae au unaetaka kumfanyia laa sivo kuferi kupo karibu.
Hizo njia sio ke wote utawapata mimi mwanaume akiniletea swaga hizo nampotezea mimi sipatani mtu mwenye mashauzi hata awe Ke hayo yote uliooredhesha ni aina ya mashauzi
 
Nmeioenda hii mapenza na maisha kwa ujumla. Hayana kanuni au formla
huyu jamaa anaelezea kitu kutokana na aina ya demu alokutana nae akidhani wanawake wote wako hivyo na watapenda na kuridhia that kind of treatment, anasahau wanawake nao ni wanadamu (the complex living thing) na sio kifaa tu ambacho kipo programmed na kipo tayari tu kwa kupokea commands,, nao wana mawazo yao na wana maamuzi pia ,,the issue ni kuwa creative kulingana na mtongozwaji alivyo full stop
 
Back
Top Bottom