Mr Misifa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 255
- 470
Pole. Mkuu
Hizo mbinu zote nilizifanya lakini hola
Sasa nimebaki Kama vile zobazoba
Napumulia mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mbinu zote nilizifanya lakini hola
Sasa nimebaki Kama vile zobazoba
Napumulia mashine
Sema Dogo!Mkuu
Hahahah hao wanawake ni wale ambao ni aidha watoto na hawajakomaa kiakili au hawajui mwanaume kabisa ndio utawapata kwa style hizo.
Mwanamke ambaye kashakubuhu atakuona unamletea hekaya za Tom n Jerry tu.
First impression ni uwezo wa kiuchumi sikuhizi and we all know that first impression matters.
Park ndinga yako mahali ukiwa smart na unanukia vyema, bila wenge agiza kinywaji au chakula, salimia na omba akujoin au umjoin then inabaki story.
Kama utachukua namba au utamaliza hapo hapo wewe tu, sikuhizi amnaga manzi anapindua kwa kijana presentable na mwenye penenge.
Hizo ulizoandika zote ni porojo za kutongozea vitoto vya la 6 mpaka form 4. No real woman is that dramatic, anaejua nini maana ya maisha na yanataka nini hatafall kwa huo utoto.
Nimeshafungua Stone Tangawizi hapa.CHUKUA SODA😂..NAKUJA APO KULIPA
Contingency approach ndiyo insyopaswa kutumika hapa, nimekupata mkuuhuyu jamaa anaelezea kitu kutokana na aina ya demu alokutana nae akidhani wanawake wote wako hivyo na watapenda na kuridhia that kind of treatment, anasahau wanawake nao ni wanadamu (the complex living thing) na sio kifaa tu ambacho kipo programmed na kipo tayari tu kwa kupokea commands,, nao wana mawazo yao na wana maamuzi pia ,,the issue ni kuwa creative kulingana na mtongozwaji alivyo full stop
Mapenzi ni sanaa mkuu sio sayansi. Ndio maana jama ameandika sanaa za kutongoza mwanamkeBongoo kilaa mtuu sahiviiii ni msomi wa sayansii ya mapenzi