[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufumba na kufumbua kindege kipo mti mwingine wenye maua mazuriYeye: Unafanya kazi gani?
Mimi: Ninatengeneza tengeneza vitu hapa na pale!!!! Hahahah
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh, hadi yatimie yote hayo 20 si ndege keshapaa na kumkosa
Aaaah! Mzee wa Mbalizi noma sana.Na mama bhokhe pia zinamhusu hizi? Maana ni kauzu haswaaa kiasi kwamba hata akifanyiwa romance utamsikia "unanirambaramba nini nithhhombhe nirare".
Uko vizuri mate.Hizo njia sio ke wote utawapata mimi mwanaume akiniletea swaga hizo nampotezea mimi sipatani mtu mwenye mashauzi hata awe Ke hayo yote uliooredhesha ni aina ya mashauzi
hizo ulizoandika ni hadithi za bulicheka
π π π π π π
Ngoja nianze kutumia hizi mbinu maana nimechoka kula vibudu.
Na mama bhokhe pia zinamhusu hizi? Maana ni kauzu haswaaa kiasi kwamba hata akifanyiwa romance utamsikia "unanirambaramba nini nithhhombhe nirare".
Hizo njia sio ke wote utawapata mimi mwanaume akiniletea swaga hizo nampotezea mimi sipatani mtu mwenye mashauzi hata awe Ke hayo yote uliooredhesha ni aina ya mashauzi
huyu jamaa anaelezea kitu kutokana na aina ya demu alokutana nae akidhani wanawake wote wako hivyo na watapenda na kuridhia that kind of treatment, anasahau wanawake nao ni wanadamu (the complex living thing) na sio kifaa tu ambacho kipo programmed na kipo tayari tu kwa kupokea commands,, nao wana mawazo yao na wana maamuzi pia ,,the issue ni kuwa creative kulingana na mtongozwaji alivyo full stop