Njia 20 zilizothibitishwa za kumshawishi mwanamke akupende bila ya kumwambia

Hizi mbinu labda huko Mlimani city na Masaki, huku Kiembe Mbuzi wee kata fungu tu!
 
Njia ya kumpata mwanamke ni moja tuu. Kumfuata, sasa wewe weka madoido yako, utakuja baadae kumchagulia jina la mtoto maana utakua umekuwa rafiki yake wa karibu
 


CHUKUA SODA😂..NAKUJA APO KULIPA
 
Mwanaume wa hivyo kwangu ataendelea kula kuona tuu, hakuna sifa mbaya ninayoichukia kwa mwanaume kama kutokujua kupenda uwiii siwezi kukupa muda hata wakunisalimia hata namba ya simu sikupi kafie mbele
 
Mapenzi ni mchezo wa hila, unafiki, maigizo na uongo, bila ya kutia hila na unafiki hupendwi
 
Contingency approach ndiyo insyopaswa kutumika hapa, nimekupata mkuu
 
Tatizo watu hawaelewi namna ya kuziaply hizo mbinu,
Ila kiukwel zipo vzr na zitakusaidia upate pisi nzuri, hupunguza kuumizwa, nk
 
Shortcut ya yote hayo ni kuwa na mzigo.over
 
tafuta hela kaka utaoa mwanamke yoyote utayempenda na kwanin ufiche upendo ili kumshawishi akupende bila kumwambia na ktk hzo 20 namba 18 umejichanganya ukalitumia neno NAKUPENDA AU ILOVE U kwa hy inamanisha ni vile tu wewe unatufundisha kujichelewesha kumwambia mwanamke unampenda kwa hyo unatufundisha kujichelewesha kumwambia mwanamke unampenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…