youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako:
👉Kwa wafanyabiashara wa Online
👉Freelancers
👉Service provider
👉Wanaouza products za afya
👉Wanaouza digital products
👉Wenye ofisi / kampuni
Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi
Thread 👇👇
1. Target watu wengi kwa wakati mmona
Mfano unataka kutuma dms, kutuma broadcast, kutuma offer kwa wateja wako.
Weka target ya watu wengi mfano watu 1000 per day
Kuwatumia ujumbe na kiwafikia.
Ukiwa na target kubwa ni rahisi sana kupata wateja wapya.
2. Tumia lead magnet
Mara nyingi unapoanza kufanya kitu chochote, unakuwa hufahamiki, hawakuamini, hauna authority.
Mara nyingi ili wateja wakuamini, tumia lead magnet ambayo inawapatia Offer ya bure.
Kama unatoa huduma basi unaweza kuwaonesha kidogo huduma yako😂😂
3. Kutumia ads Funnel
Ndio ni rahisi kuuza kupitia whatsap baada ya kurusha matangazo,
Lakini kama una bajeti kubwa, tumia ad Funnel.
Rusha tangazo, walete kwa landing page au website, weka automatic payments.
Inakusaidia kufanya kazi kama taasisi, sio individual.
4. Tumia podicast za watu wengine
Mfano mimi ninatoa huduma yangu, siku nikienda kwa podicast ya
ni rahisi sana kutangaza huduma zangu huko.
Kupitia podicast utawafikia watu wengi zaidi ambao hukutegemea.
Nb: podicast za watu wengine
5. Hudhuria live classes, meeting na seminars
Semina nyingi zinakuwa na wataalamu, wageni wengi, serious peoples.
Kama unatafuta wateja ni sehemu nzuri sana ya kuchota wateja wapya.
Nenda kama brand au mtaalamu usiende kama mwanafunzi.
Toa value watu watakukubali.
6. Tumia youtube videos
Watanzania wengi wanaingia youtube kutafuta Solutions za matatizo yao, wengine wanaingia google.
Hiyo ni sehemu muhimu sana ya kuchota wateja.
Kama huwezi kutengeza video ajiri mtu akusaidie lakini, nakuhakikishia utapata wateja wa kudumu youtube.
7. Tengeneza relationship na watu wengi
Mfano ukiwa unapost kila siku, kuna watu wengi wanakuona ila wewe hawaoni.
Wakikuona kila siku wanakuamini na wanakufatilia, mwisho wa siku ukiwatangazia bidhaa yako, watalipia bila tatizo.
Post kila siku ili kupata watu wengi.
8. Post sana LinkedIn
Kule kuna watu wapo serious sana,
Post, comment, engage, utaona impression ya LinkedIn.
Do not complicate
Post moja, badirisha kuwa youtube, kuwa blog post, kuwa thread, kuwa status, kuwa shorts, kuwa reels.
LinkedIn mpaka sasa haina mpinzani.
9. Utauza kwa kuonekana kwa watu wengi.
Jitahidi sana watu waone unachokifanya kila siku.
Watakionaje? Post post asubuhi, mchana na jioni.
Kila siku hakikisha unatengeneza content za kutosha.
Watu watakuja kununua kwako siku moja.
10. Tuma meseji kwa watu wanao engage na Content zako.
Mfano mimi nikitoa offer ya kitu nikawatumia watu dm
Lazima niongezee na offer ya huduma yangu iliniwafikie.
Followers sio maua ni wateja hao.
11...... Itaendelea
Unahitaji kujifunza Freelancing na kupata kazi za remote work?
Nimekuwekea njia rahisi hapa
Be inspired to become a freelancer
Bonyeza hapa
johansendigital.systeme.io
Itaendelea namba 11

kupata pesa za crypto projects kwa kufanya kazi na kampuni za crypto
Blockchain freelancing njia ninazotumia kupata pesa za crypto projects kwa kufanya kazi na kampuni za crypto.
Itaendelea namba 11