NJia asili ya kupunguza ukubwa wa mikono ,matiti na tumbo

Mazoezi ndio kila kitu, hizi zote ni mbwembwe tu
 
Swala la kupunguza nyama ni kitu ingine jamaa angu asee .
 
Nmeanza kupaka leo, ila nakamua maji yake ndio najipaka maana kufikicha majiyanavuja[emoji17]
kwahiyo nachuja afu napaka kama mafuta dk2 ,je nafanya vibaya?
 
mazoezi gani sasa unaruka au unafanyaje kwa maziwa/mikono
NAUKITAKA KUONDOA VINYWELEO MIGUUNI PERMANENTLY KWA NJIA NATURAL nielekezeni anayejua
wax no
 
mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Tupe mrejesho
 
mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Tupe mrejesho, yalipungua?
 
mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Mi matiti makubwa ( mtindi ) ndo ugonjwa wangu
 
Sasa wew unashangaa limao na tangawizi??;mbona kuna majani ukiweka kidogotu ndani yakiyatu unalewa!! tena unalewa kweli aliepiga viroba anahafathali.
Wengine ss walevi em tuambiane hayo majani maana huu ujana una mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…