Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mazoezi gani sasa unaruka au unafanyaje kwa maziwa/mikono
NAUKITAKA KUONDOA VINYWELEO MIGUUNI PERMANENTLY KWA NJIA NATURAL nielekezeni anayejua
wax no
hata mie nawaza....... haya mambo mengine tumuachie muumba tyuuJinsi gani limao na tangawizi uliyopaka nje inapunguza mafuta ya ndani?
Tupe mrejeshomimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Tupe mrejesho, yalipungua?mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Mi matiti makubwa ( mtindi ) ndo ugonjwa wangumimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Wengine ss walevi em tuambiane hayo majani maana huu ujana una mambo mengiSasa wew unashangaa limao na tangawizi??;mbona kuna majani ukiweka kidogotu ndani yakiyatu unalewa!! tena unalewa kweli aliepiga viroba anahafathali.