Njia gani ambayo huwa unatumia kuondoa stress pindi unapokuwa bored?

Inategemea na aina ya stress na imekukuta katika hali gani
1. Kama ni day off kuna kwenda swimming huwa inasaidia sana kupoteza mawazo
2. Kutembea tu beach au kitaa just long walk huku unasikiliza music
3. Kupiga simu na mshkaji wako ambaye ana vituko kuliko
4. Jogging

Kama nipo sehemu ambayo siwezi move
1. Kusikiliza mawaidha ya Othmani Maalim
2. Kusikiliza miziki iliyochangamka
3. Ku chat
4. Kuangalia movie au series comedy
5. Vyote vikishindikana basi kuna kula kuku choma huondoa sana stress, chocolate na ice cream
 
Sex sex sex.
Game game.
 
Hip Hop Music is my wife,,, daima sitalala nje ya ndoa.

WWB(Wana wanywe Bia) -Bonta
 
Shopping
Spa full body treats
Sauna,Wash my hair,massage,nails,
Music
Kusali
Making love
Lots of TV
Kulala

Kula napoteza appetite
 
Huwa naenda kanisani na kusikiliza mahubiri, nikitoka hapo imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…