Njia gani ambayo huwa unatumia kuondoa stress pindi unapokuwa bored?

Njia gani ambayo huwa unatumia kuondoa stress pindi unapokuwa bored?

Napenda kula vyakula kama chips, kuku tena naweka pilipil kibao, then movies, music au games
 
Habali za usiku huu wakuu nimekuja na nyuzi hii tushikilishane kwa pamoja kwamba ni njia gani huwa tunazitumiaga kuondoa stress mfano; mtu kakukwaza, matatizo, kuumwa, nk.

Mfano mimi huwa nikiwa bored, off mood! Huwa napenda kuskiliza music’s tofauti tofauti kama; R&b, slow jams, blues, somehow na oldskul hiphop.

Pia kama sipo interested na music kwa muda huo! Huwa nalala atleast 3/4hours nikiamka nakuwa mpya.

Sijui wenzangu huwa mnatumia njia gani??

Gambe ndiyo solution kiongozi
 
Back
Top Bottom