Habali za usiku huu wakuu nimekuja na nyuzi hii tushikilishane kwa pamoja kwamba ni njia gani huwa tunazitumiaga kuondoa stress mfano; mtu kakukwaza, matatizo, kuumwa, nk.
Mfano mimi huwa nikiwa bored, off mood! Huwa napenda kuskiliza music’s tofauti tofauti kama; R&b, slow jams, blues, somehow na oldskul hiphop.
Pia kama sipo interested na music kwa muda huo! Huwa nalala atleast 3/4hours nikiamka nakuwa mpya.
Sijui wenzangu huwa mnatumia njia gani??