Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
Shukran MkuuWarudi✅
Wafungie ndani kama siku tatu mfululizo wape chakula na maji kila mara , baada ya hapo hata ukiwafungulia watarudi bandani , kwa sababu wamezoea kupata chakula cha uhakika hapo.
😎Uwe unawagombeza wakichelewa kurudi
Ngoja nijalibuWazungurushe kwenye moto mara 7 😁
Chakula & Maji umemaliza kila kituWarudi✅
Wafungie ndani kama siku tatu mfululizo wape chakula na maji kila mara , baada ya hapo hata ukiwafungulia watarudi bandani , kwa sababu wamezoea kupata chakula cha uhakika hapo.
Unawashwa😎WALUDI 😏
Saf Mkuu ShukranChakula & Maji umemaliza kila kitu
Pia kumbuka , usiwachanganye na wengine bila kuwa na uhakika kama wamepata chanjo hasa ya kideri , ndui na GumboroShukran Mkuu
Unaweza kudhani n masihara, ila wanyama wanaelewa hisia za binadamu hasa za huzuni na hasira.
WazoeeNjia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
Saf Mkuu ngoja niganyie kaziPia kumbuka , usiwachanganye na wengine bila kuwa na uhakika kama wamepata chanjo hasa ya kideri , ndui na Gumboro
Shukran Mkuu nilikua sijuiWazoee
Hata
Warudi
Kwa kifupi ni kuwafungia kwenye mazingira mazuri. 1. Chakula na maji 2. Usalama (hakuna wanyama wanaowafanya waogope na pia binadamu hawawabughudhi) 3. Hakuna kuku wengine wanaowashambulia. (jogoo anaweza kuhama kabisa kama anapigwa na wenzake)
Hahaha Mkuu nitafanya ivyo ShukranUnaweza kudhani n masihara, ila wanyama wanaelewa hisia za binadamu hasa za huzuni na hasira.
Mama ako tayari, zamu yako sasaUnawashwa😎
Bei rahisi Electronicks hiki ndicho unachotakiwa kufanya basi hayo ya chakula na maji ni extra tu kuku wa kienyeji anajitafutia mwenyewe ukiamua kumpa chakula huo ni uamuzi wako tuhakikisha banda au chumba kipo wazi muda wote wa mchana, watazoea tu