Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

Warudi✅

Wafungie ndani kama siku tatu mfululizo wape chakula na maji kila mara , baada ya hapo hata ukiwafungulia watarudi bandani , kwa sababu wamezoea kupata chakula cha uhakika hapo.
 
Siku 3 hadi 5 za mwanzo wafungie ndani wasitoke ila uwape maji na chakula kisha watoe, hakikisha banda au chumba kipo wazi muda wote wa mchana, watazoea tu
 
Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
Wazoee
H
ata
Warudi
Kwa kifupi ni kuwafungia kwenye mazingira mazuri. 1. Chakula na maji 2. Usalama (hakuna wanyama wanaowafanya waogope na pia binadamu hawawabughudhi) 3. Hakuna kuku wengine wanaowashambulia. (jogoo anaweza kuhama kabisa kama anapigwa na wenzake)
 
hakikisha banda au chumba kipo wazi muda wote wa mchana, watazoea tu
Bei rahisi Electronicks hiki ndicho unachotakiwa kufanya basi hayo ya chakula na maji ni extra tu kuku wa kienyeji anajitafutia mwenyewe ukiamua kumpa chakula huo ni uamuzi wako tu

Ukiacha wazi wataenda watarudi wataenda watarudi ndio wanavyozoea mwisho jioni wanaingia wenyewe huwashikii hata fimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…