Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
- Thread starter
-
- #21
Shukran MzeeBei rahisi Electronicks hiki ndicho unachotakiwa kufanya basi hayo ya chakula na maji ni extra tu kuku wa kienyeji anajitafutia mwenyewe ukiamua kumpa chakula huo ni uamuzi wako tu
Kwa hio fanya hivyo akifika km kuna wenzie mwache ajimix nao atapiga nao story jioni watamuonyesha pa kulala ila kuku hua tunamuingiza bandani usiku na tukimuingiza lazima aparue miguu mlangoni wakati wa kuingia km wewe unavyofuta miguu kwenye zuria la mlangoni kwako ndio tunafanya hivyo ili aingie km mgeni zingatia hapo kwenye kuparua miguuShukran Mzee
Ujue kuku wanaelewa,,aisee Kuna uzao wa kuku home walikuwa wananiogopa,nilikuwa nawafokea walikuwa waharibifu,Uwe unawagombeza wakichelewa kurudi
Nawe mkorofi.Kwa muandiko huu utafikiri huu uzi umeanzishwa na hao Kuku wenyewe.
Yah, mwngn anaweza kudhani nimeongea utani, ila wanyama wanaelewa sana hisia za binadamu hasa za huzuni na hasiraUjue kuku wanaelewa,,aisee Kuna uzao wa kuku home walikuwa wananiogopa,nilikuwa nawafokea walikuwa waharibifu,
Kuna wengine walikuwa wananipenda,nikiwa natoka wananisindikiza nikiwaambia ingia ndani wanarudi.
Na wanakusoma pia,ukiwa unawajali pia wanajua,,Yah, mwngn anaweza kudhani nimeongea utani, ila wanyama wanaelewa sana hisia za binadamu hasa za huzuni na hasira
Wape uhakika wa chakula jirani na banda laoNjia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.