Lantino melanto
Member
- Jun 5, 2022
- 80
- 118
Je, mafuta ya alizeti nikinunua na kuyahifadhi kwenye madumu Yale ya Lita 20 ndani ya mwaka mmoja, mafuta yanaweza kukaa bila kupoteza ubora wake?
Pia njia zipi nyingine ambazo naweza kuzitumia kuhifadhi mafuta ya alizeti ndani ya mwaka mmoja bila kuharibika?
Naombeni ushauri wenu wazoefu na wataalamu wa mafuta ya alizeti .
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu waungwana asanteni Sana [emoji120]