Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Ni vizuri kutumia njia asilia maana haina madhara ila ikishindikana bora Mr awithdraw tu ila ajipange vizuri oelse tutalea tu

Cc Kingsmann
 
Calendar ukiitumia vizuri, haiwezi kukwangusha
 
Mbegu za mnyonyo unameza au?
 
Wadau hii njia ya kalenda sio ya kuamini, mimba imeingia kwa mke wangu bila matarajio, tulikwepa siku za hatari lakini sijui mimba imeingiaje!
 
Wadau hii njia ya kalenda sio ya kuamini, mimba imeingia kwa mke wangu bila matarajio, tulikwepa siku za hatari lakini sijui mimba imeingiaje!
Pole sana mkuu. Ndo shida ya njia ya kalenda, ina makando kando mengi na sio reliable.
 
Coitus Interruptus is the best and safest method. Stay away from Pills, Injectables and the likes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…