Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ndo maaana tupo karibu na moyo wote wakuwasaidia ufate maelekezo tu 😕 😕
Basi nikishaamua kumpata wamwisho nitakuomba msaada wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maaana tupo karibu na moyo wote wakuwasaidia ufate maelekezo tu 😕 😕
unatumia kitanzi?Mpaka sasa hakuna
Ndiyounatumia kitanzi?
kwa muda gani?? umepata complications zozote?? samahani lakiniNdiyo
Nambie dadaa kitanzi kimewahi kukuletea athari zozote?Njia nayotumia mimi inaweza isimfae yeye ama ikamfaa
Nimeweka kitanzi
Mbegu za mnyonyo unameza au?Mimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
Pole sana mkuu. Ndo shida ya njia ya kalenda, ina makando kando mengi na sio reliable.Wadau hii njia ya kalenda sio ya kuamini, mimba imeingia kwa mke wangu bila matarajio, tulikwepa siku za hatari lakini sijui mimba imeingiaje!
Coitus Interruptus is the best and safest method. Stay away from Pills, Injectables and the likes.Salute,
Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.
Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.
Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.
Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.
Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.
Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.
Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?