Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Ni vizuri kutumia njia asilia maana haina madhara ila ikishindikana bora Mr awithdraw tu ila ajipange vizuri oelse tutalea tu

Cc Kingsmann
 
Calendar ukiitumia vizuri, haiwezi kukwangusha
 
Mimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
Mbegu za mnyonyo unameza au?
 
Wadau hii njia ya kalenda sio ya kuamini, mimba imeingia kwa mke wangu bila matarajio, tulikwepa siku za hatari lakini sijui mimba imeingiaje!
 
Wadau hii njia ya kalenda sio ya kuamini, mimba imeingia kwa mke wangu bila matarajio, tulikwepa siku za hatari lakini sijui mimba imeingiaje!
Pole sana mkuu. Ndo shida ya njia ya kalenda, ina makando kando mengi na sio reliable.
 
Salute,

Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.

Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.


Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.

Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.

Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.

Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.

Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?
Coitus Interruptus is the best and safest method. Stay away from Pills, Injectables and the likes.
 
Back
Top Bottom