Njia gani niitumie nisiibiwe idea yangu ya biashara..?

Njia gani niitumie nisiibiwe idea yangu ya biashara..?

nilishawahi kuwaza swala la mobile laboratory kwenye shule za kata nikakutana na mdau mmoja wa maswala ya NGOs nikamueleza alichofanya kwanza alicheka sana then akanitolea maproposal ya hiyo idea, loh! kumbe ukijifanya una wazo la pekeako ni kujidanganya...
 
Hauwezi kusajili idea ya biashara wala kuwazuia wenzako wasifanye. Unaweza kusajili trademarks zako kama nembo etc pia unaweza ku patent unique things ulizovumbua. Pia idea ni kitu kidogo sana, tatizo ni utekelezaji, best of lucbsite zak.

Waambie hao jamaa, Website za mashindano ya aidea huwa wanaweka aidea zao zote open sasa jamaa anakuja na ngonjera za aidea hapa

 
Kuna website ambazo kazi zao ni kuweka idea za biashara ili wawekezaji waje kuwekeza...
Tena ukisoma hizo ideas unakuta africa nzika hakuna mijitu ya nigeria inapost ma idea ya kufa mtu... na yet wanapost kutafuta wawekezaji
Huu umimilism utatumaliza watanzania na ndio maana tunafeli katika kuunganisha mitaji
 
Back
Top Bottom