Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae.

Embu tusubiri wataalamu watupe majibu, mwenyewe sijui.
 
Je imetokea kwa Bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia Dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari,vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae.Embu tusubiri wataalamu watupe majibu,mwenyewe sijui
Badala ya kuuliza njia ya kuzuia ukimwi unauliza kuzuia mimba! Utakufa na utamu wako.....subiri!!
 
Je imetokea kwa Bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia Dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari,vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae.Embu tusubiri wataalamu watupe majibu,mwenyewe sijui

Kuna (morning after pills) mpe kama ni ndan ya saa sabini na mbili kuna mpaka za 5days
 
Je imetokea kwa Bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia Dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari,vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae.Embu tusubiri wataalamu watupe majibu,mwenyewe sijui
Tatizo lenu ni kutaka kuthubutu hata katika mambo ambayo hayahitaji uthubutu!
 
Chukua vifuatavyo afu changanya.
Saga saga kizbo cha mavi ya kuku makavu + kinyesi cha nguruwe kidogo tu + mchemsho wa majani ya mwarobaini then kunyweni wote.
Baada tu ya kunywa kachezeni sebene dawa ina f(x) ndani ya WK nzima.
 
Njia local kabisa bibi aliniambia kabla ya saa 24/72 unachukua majivu anakoroga supu yake au tuiite juisi yake anapiga glasi zake 4 hivi mchenzo 3 bila ahsante.
Note.
Hii utumiwa sana na dada zetu wa mabaani na baadhi ya wake za watu.
 
Uko sawa
 
Vijiko viwili vya majivu ataweka ktk glasi moja, anakunywa baada au kabla ya mechi hapo hakuna mimba
 
Back
Top Bottom