Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Niliwahi kusikia mbegu za mnyonyo ni kinga nzuri ya kuzuia mimba,mwenye uelewa zaidi atujuze
 
Morning after hata kama ulipiga bao zito kiasi kiasi gani hapo kushnehi sina hofu kutembea na denti wala sister
 
Naskia demu akitumia hivo vidonge emergency pills, anakosa ladha pia anakuwa na maji mengi Kuna ukweli ndani yake?
 
AHSANTE MLETA MADA KWA MJADALA HUU.BUT NAOMBA NIULIZE LET SAY MPENZ WAKO YUPO SIKU ZA HATARI AMBAZO AKIFANYA NGONO ANAWEZA PATA MIMBA.swali.JE MKIFANYA NGONO BILA KINGA SIKU YA HATARI NA UKAEJACULATE NDANI.BUT AFTER TEN MINUTES AKAENDA KUOGA.JE KUOGA HUKO AKIJISAFISHA KWA MAJI INAWEZA KUONDOA MBEGUBM ZOTE NA ASIPATE MIMBA??/??
 
yani humu tunasaidia kweli kweli ..
namimi nikazie hapo hapo tuu ni
1.Majivu
2.P2
3.Flagile
4.Morning After
5. Majani ya Chai Meengi koroga kwenye chai..
kama walivyo sema wenzangu hapo juu.. Ingawa mi sijui
 
AHSANTE MLETA MADA KWA MJADALA HUU.BUT NAOMBA NIULIZE LET SAY MPENZ WAKO YUPO SIKU ZA HATARI AMBAZO AKIFANYA NGONO ANAWEZA PATA MIMBA.swali.JE MKIFANYA NGONO BILA KINGA SIKU YA HATARI NA UKAEJACULATE NDANI.BUT AFTER TEN MINUTES AKAENDA KUOGA.JE KUOGA HUKO AKIJISAFISHA KWA MAJI INAWEZA KUONDOA MBEGUBM ZOTE NA ASIPATE MIMBA??/??
Mbegu hazitatoka (zote) kwa kuoga, kuingiza vidole na kuzivuta au kujikakamua, kwakua mamilioni ya mbegu hutoka katika mshindo mmoja zile unazoona zinamwagika ni sehemu tu ya zingine ambazo zipo ndani zikijiandaa kurutubisha yai (nasema zikijiandaa kwakua mbegu zinaweza kukaa hata siku tatu mwilini).

Hivyo njia ya uhakika ni kutumia kinga (achana na zitakazomuwasha mdada) au kufuata njia yoyote ya uzazi wa mpango, kutia ndani kumwaga nje.
 
Back
Top Bottom