Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Emergence contraceptive/Vidonge vya dharura;
•P2
•P72
•Levonorgestrel Ritcher 0.75
•preventol
•i pill
Kazi kwako na mechi njema kumbuka pia kujikinga na UKIMWI
Hizi zote performance yake ni chini ya 65%
 
Nimeingia choo cha kike,mi huwa sizini.Ngoja niwaachie wazinifu waendelee kujadili
 
Ikiingia imeingia tu, kuna m2 alipewa dawa za kunywa na nyingine aweke kwenye papuchi, lakini iliingia na akajifungua.
Mimi huwa sipendagi uongo, huyo mtu alitumia dawa gani?
 
Back
Top Bottom