Njia iliyobaki kuipinga dpw

Njia iliyobaki kuipinga dpw

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba
1.Kumuomba mungu aamue .
2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
 
Tafuta Dawa ya msongo wa mawazo tu. Ndo njia pekee iliyobaki

Uwekezaji Bandarini utaendelea, mafanikio yatapatikana na hakuna lolote utafanya mpuuzi wewe
 
Kilichobaki tutakuja kutengana kwa udini.

Maana udini upande Fulani naona wanamsapoti kwa Imani yao lakini wakija tunaenda kuumia wote
 
Relax hawaji tulia kabisa wanahisi ndo wale waliwafanya watumwa mm leo siwez kuwa mtumwa kunikamata tu ishu.saivi tu muarabu hata mtanzania akinisalimia sijibu
 
Tena umeniita mjinga.ongeza juhudi kazini kaka ila dp world haitoboi .na sikuiti jina la dharau
Yaaani nakwambiaje uniite au usiniite jina la dharau ukweli ndo huo. Dp World anakuja kuwekeza, nchi inaenda kufaidika na uwekezaji wake na hakuna lolote unaweza fanya.
 
Kama nduguzo wambie wasihatarishe vijana wa watu tutaanzia airport kufuata katiba yetu
 
Back
Top Bottom