Njia iliyobaki kuipinga dpw

Njia iliyobaki kuipinga dpw

Watanzania wanawaza miujiza kwenye kila kitu, hapa njia ni moja tu
1. Kila aliye na sifa za kupiga kura ajiandikishe na ajitokeze kupiga kura uchaguzi mkuu.
2. Kura yako ni haki yako ya msingi usikubali kurubuniwa kwa vitenge na ubwabwa
 
Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba
1.Kumuomba mungu aamue .
2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
Usihofu Mungu ataamua ugomvi soon usinung'unike wala usilie 🙏😭🤣😂 sana sana muombee toba na rehema watufudenge maana ni hakika Mungu ataamua ugomvi
 
Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba
1.Kumuomba mungu aamue .
2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
Umekuwa tu mwoga kuitaja njia pekee iliyobak. Na mimi sitaiandika lakin tunaijua wote.
 
Yaaani nakwambiaje uniite au usiniite jina la dharau ukweli ndo huo. Dp World anakuja kuwekeza, nchi inaenda kufaidika na uwekezaji wake na hakuna lolote unaweza fanya.
Migodi na mashirika ya uma yalipouzwa ni faida gani imepatkana
 
Tafuta Dawa ya msongo wa mawazo tu. Ndo njia pekee iliyobaki

Uwekezaji Bandarini utaendelea, mafanikio yatapatikana na hakuna lolote utafanya mpuuzi wewe
Wanaopinga hawapingi uwekezaji ila vifungu vya mkataba jinsi vilivyokaa kama vya chief Mangungo. Vikirekebishwa hata hao DPW wawekeze tu hatuna chuki nao.
 
Back
Top Bottom