Tafuta Dawa ya msongo wa mawazo tu. Ndo njia pekee iliyobakiMpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba
1.Kumuomba mungu aamue .
2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
Mja wa mola uwe wewe???Uzuri mm sijakutukana .usipende tukana mja wa mola
Chawa mzee una hasira sana.Tafuta Dawa ya msongo wa mawazo tu. Ndo njia pekee iliyobaki
Uwekezaji Bandarini utaendelea, mafanikio yatapatikana na hakuna lolote utafanya mpuuzi wewe
Chawa ndo nani?Chawa mzee una hasira sana.
Relax hawaji tulia kabisa wanahisi ndo wale waliwafanya watumwa mm leo siwez kuwa mtumwa kunikamata tu ishu.saivi tu muarabu hata mtanzania akinisalimia sijibuKilichobaki tutakuja kutengana kwa udini.
Maana udini upande Fulani naona wanamsapoti kwa Imani yao lakini wakija tunaenda kuumia wote
Yaaani nakwambiaje uniite au usiniite jina la dharau ukweli ndo huo. Dp World anakuja kuwekeza, nchi inaenda kufaidika na uwekezaji wake na hakuna lolote unaweza fanya.Tena umeniita mjinga.ongeza juhudi kazini kaka ila dp world haitoboi .na sikuiti jina la dharau
Naamini alikuwa na nunda jeusi kwenye pajiIla kama dini walituletea kwann tusiwalipe kwa kuwapa bandari. Alisikika mfia dini mmoja
Kama nduguzo wambie wasihatarishe vijana wa watu tutaanzia airport kufuata katiba yetuYaaani nakwambiaje uniite au usiniite jina la dharau ukweli ndo huo. Dp World anakuja kuwekeza, nchi inaenda kufaidika na uwekezaji wake na hakuna lolote unaweza fanya.