Njia iliyobaki kuipinga dpw

Watanzania wanawaza miujiza kwenye kila kitu, hapa njia ni moja tu
1. Kila aliye na sifa za kupiga kura ajiandikishe na ajitokeze kupiga kura uchaguzi mkuu.
2. Kura yako ni haki yako ya msingi usikubali kurubuniwa kwa vitenge na ubwabwa
 
Usihofu Mungu ataamua ugomvi soon usinung'unike wala usilie πŸ™πŸ˜­πŸ€£πŸ˜‚ sana sana muombee toba na rehema watufudenge maana ni hakika Mungu ataamua ugomvi
 
Umekuwa tu mwoga kuitaja njia pekee iliyobak. Na mimi sitaiandika lakin tunaijua wote.
 
Yaaani nakwambiaje uniite au usiniite jina la dharau ukweli ndo huo. Dp World anakuja kuwekeza, nchi inaenda kufaidika na uwekezaji wake na hakuna lolote unaweza fanya.
Migodi na mashirika ya uma yalipouzwa ni faida gani imepatkana
 
Tafuta Dawa ya msongo wa mawazo tu. Ndo njia pekee iliyobaki

Uwekezaji Bandarini utaendelea, mafanikio yatapatikana na hakuna lolote utafanya mpuuzi wewe
Wanaopinga hawapingi uwekezaji ila vifungu vya mkataba jinsi vilivyokaa kama vya chief Mangungo. Vikirekebishwa hata hao DPW wawekeze tu hatuna chuki nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…