Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.

Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:
1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.

2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.

3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.

Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.
 
Karibuni supu
FB_IMG_1729421495136.jpg
 
Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi katikati, lakini mipira inapofika mbele, inakufa. Hakuna washambuliaji hatari wenye uwezo wa kumaliza mashambulizi.

Mo aache ubahili atoe hela wasajiliwe wachezaji wa maana sio kuokota okota.
 
Sahihi kabisa. Watu wanadhani wachezaji wa Simba hawana fitness ila ukweli ni kwamba kutokana na kutokuwa na wachezaji hatari safu ya mbele inayoweza kuleta hatari kwa dakika 90, kunasababisha mabeki na viungo kuchoka kutokana na pressure timu inayopata hasa kipindi cha pili. Hilo nililisema toka Simba Day.

Waliofanya usajili wamejitahidi ila kuna wachezaji wameshindwa tu kwenda na mahitaji na matarajio ya haraka ya timu.
 
Kabisa kajisa sasa mm najiuliza inamaana management ya timu haioni hili swala..

Na tatizo hili ndio lipo kwa taifa stars pia..
Sijui tunafail wapi.
 
Nadhani watalifanyia kazi, tuwape muda maana muda wa usajili bado haujafika. Ushauri wangu unabaki kuwa Lakred asiachwe na timu iwe na rotation hasa beki za pembeni. Kulazimisha wachezaji wale wale kila mechi ndiyo kunapelekea majeruhi kama tunayoyaona sasa ya kina Hamza au siku unamtegemea mchezaji unakuta kashapoteza confidence kwa sababu ya kukalia benchi muda mrefu.
 
Njia ni moja tu isiyo na mashaka wala wasiwasi nayo ni kutafuta Viungo washambuliaji wa pembeni wawili wanaojua wanachokifanya na si huu uchafu wa Mutale, Kibu na wenzao...

Hawa Viungo waje watengeneze UTATU na AHOUA, ndo Simba itakimbizana na Ubingwa...

Tulipotoka kwa Onana ni yale yale kwa Mitale,,,
 
Kupata hao viungo, Simba iende Senegal. Ni ngumu sana kupata mchezaji mbovu kule iwapo scouting ikifanyika vizuri. Vijana wa kule bado wana njaa ya mafanikio na vipaji asili bado vipo
 
Nadhani watalifanyia kazi, tuwape muda maana muda wa usajili bado haujafika. Ushauri wangu unabaki kuwa Lakred asiachwe na timu iwe na rotation hasa beki za pembeni. Kulazimisha wachezaji wale wale kila mechi ndiyo kunapelekea majeruhi kama tunayoyaona sasa ya kina Hamza au siku unamtegemea mchezaji unakuta kashapoteza confidence kwa sababu ya kukalia benchi muda mrefu.
hivi unajua kuwa kuna mchezaji wa kigeni inambidi ampishe ellie mpanzu kibisawala ambaye alikuwa ni lakred? Hivi unajua ukimbakiza lakred inabidi umuache musa camara?
 
Mukwala, Mutale na Ngoma wanaweza kuachwa. Kipa moja mzawa anaweza kuachwa walau kwa mkopo hadi mwisho wa msimu tathmini ya kikosi itakapofanyika tena. Camara akijua kuna Lakred bench ataongeza umakini.
 
Sisi simba hatuna wachezaji wa kufanya yote hayo uliyoyataja. Mutale hana uwezo wa kucreate nafasi wala ku score 10+ goals per season, kibu hana uwezo wa kucreate nafasi wala kufunga hata 5+ goals per season. Na hawa ndio wachezaji tegemeo la timu can u just imagine? Kutaka simba ishinde ubingwa ni sawa na kumwambia muuza mkaa ndani ya mwaka awe tajiri kuliko elon musk. Tujenge timu tu ubingwa tusahau,dirisha dogo tutafute winga mwingine wa kuchukua nafasi ya mutale, kibu aanzie benchi. Tutafute beki wa kulia wa kimataifa wa kumuweka benchi baba esta. Tusajili kiungo namba 8 mbadala wa debora. Tusajili straika wa maana wa kusaidiana na ateba(dirisha kubwa).
 
Back
Top Bottom