Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

Mukwala, Mutale na Ngoma wanaweza kuachwa. Kipa moja mzawa anaweza kuachwa walau kwa mkopo hadi mwisho wa msimu tathmini ya kikosi itakapofanyika tena. Camara akijua kuna Lakred bench ataongeza umakini.
hiyo gharama ya kuwa na wachezaji wawili kwenye position moja wenye uwezo unaofanana nani analipa? Dirisha dogo mbadala wa mutale,mukwala,ngoma unawapatia wapi na kwa sh ngapi? Timu ipi itakubali kuwaachia wachezaji wake muhimu dirisha dogo?
 
Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.

Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:
1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.
2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.
3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.

Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
hiyo gharama ya kuwa na wachezaji wawili kwenye position moja wenye uwezo unaofanana nani analipa? Dirisha dogo mbadala wa mutale,mukwala,ngoma unawapatia wapi na kwa sh ngapi? Timu ipi itakubali kuwaachia wachezaji wake muhimu dirisha dogo?
Kama Simba ina nia ya dhati kuwania ubingwa wa NBC na wa CAF shirikisho msimu huu, maboresho haya tunayosema ni lazima yafanyike ndani ya dirisha hili dogo. Safu ya ushambuliaji ya sasa ya Simba haiwezi kuipa ubingwa wowote maana Ateba hana watu wa kumtengenezea nafasi.

Timu inatumia nguvu kubwa kupata ushindi wakati maboresho ya wachezaji hata wawili tu yanalainisha mambo.
 
Sidhani kama mshahara wa Manula na wa Camara unatofautiana sana labda uniambie gharama za vibali
 
Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.

Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:
1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.
2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.
3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.

Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.
Unfortunately, kucheza kwa hasira ni kupata hasara zaidi. Jana Simba walikuwa wanacheza kwa nguvu sana na hasira fulani na hiyo ndiyo iliyowacost. Usishangae kuwa ama watatoka droo na Prisons au watafungwa kutokana na uchovu waliopata kwenye mchezo wa jana. Inatakiwa wacheze kwenye comfort zone yao, siyo kujilazimisha makuu.

Simba walikuwa na bahati jana kwa vile wachezaji wakuu wa Yanga walikuwa na uchovu kutokana ushiriki wao kwenye timu za mataifa yao; kwa mfano Diarra kaingia Dar saa 8 mchana na moja kwa moja kwenda kucheza saa 11 jioni.
 
Unjfrtunately, kucheza kwa hasira ni kupata hasara zaidi. Jana Simba walikuwa wanacheza kwa nguvu sana na hasira fulani na hiyo ndiyo iliyowacost. Usishangae kuwa ama watatota droo na Prisons au watafungwa kutokana na uchovu waliopata kwenye mchezo wa kwanza. Inatawie wacheze kwenye confort zone yao, siyo kujilazimisha makuu.

Simba walikuwa na bahati jana kwa vile wachezaji wakuu wa Yanga walikuwa na uchovu kutokana ushiri wao kwenye timu za mataifa yao; kwa mfano Diarra kaingia Dar saa 8 mchana na moja kwa moja kwenda kucheza saa 11 jioni.
Simaanishi hasira hizo unazosema wewe. Jana Yanga ndiyo walikuwa wanacheza kwa hasira zaidi ukiangalia uchezaji wa kina Aucho, Boka, Dickson na Bacca. Nature ya Yanga siku zote ni kucheza kwa jihad kwa hiyo hakuna ubaya kuchukua sehemu ya spirit hiyo ya upambanaji.

Diara ni golikipa, uchovu wake gani umemuathiri na umeiathiri timu jana?
 
Kupata hao viungo, Simba iende Senegal. Ni ngumu sana kupata mchezaji mbovu kule iwapo scouting ikifanyika vizuri. Vijana wa kule bado wana njaa ya mafanikio na vipaji asili bado vipo
Kama huyo Mpanzu akiwa sawa kama inavyodaiwa na akakamata shavu moja halafu shavu lingine tukiweza tumsubiri na kumpata mmojawapo kati ya Feisal au Sillah. Hawa pamoja na Ahoua tutakuwa tumeongeza creativity ya kiwango cha juu... Kwenye hilo eneo ndo tumepigwa gepu kubwa sana na Yanga....

Fikiria kwamba pembeni wenzako wana Max Zengeli na Pacome halafu we una Kibu na Mutale...
 
Kama Simba ina nia ya dhati kuwania ubingwa wa NBC na wa CAF shirikisho msimu huu, maboresho haya tunayosema ni lazima yafanyike ndani ya dirisha hili dogo. Safu ya ushambuliaji ya sasa ya Simba haiwezi kuipa ubingwa wowote maana Ateba hana watu wa kumtengenezea nafasi.

Timu inatumia nguvu kubwa kupata ushindi wakati maboresho ya wachezaji hata wawili tu yanalainisha mambo.
. Duniani hakuna timu inayoweza kuwa na camara na lakred kwa pamoja hakuna. Msimu huu tuutumie kutengeneza timu tu, ubingwa hatuwezi kuchukua hata man city hakuchukua ubingwa ndani ya msimu mmoja acheni kudanganywa na viongozi wapuuzi.
 
Kama Simba ina nia ya dhati kuwania ubingwa wa NBC na wa CAF shirikisho msimu huu, maboresho haya tunayosema ni lazima yafanyike ndani ya dirisha hili dogo. Safu ya ushambuliaji ya sasa ya Simba haiwezi kuipa ubingwa wowote maana Ateba hana watu wa kumtengenezea nafasi.

Timu inatumia nguvu kubwa kupata ushindi wakati maboresho ya wachezaji hata wawili tu yanalainisha mambo.
 
Kama huyo Mpanzu akiwa sawa kama inavyodaiwa na akakamata shavu moja halafu shavu lingine tukiweza tumsubiri na kumpata mmojawapo kati ya Feisal au Sillah. Hawa pamoja na Ahoua tutakuwa tumeongeza creativity ya kiwango cha juu... Kwenye hilo eneo ndo tumepigwa gepu kubwa sana na Yanga....

Fikiria kwamba pembeni wenzako wana Max Zengeli na Pacome halafu we una Kibu na Mutale...
Feisal au Shila una hela gani za kuwatoa Azam, Makolo mna ndoto za mchana.
Mchezaji wa maana mliyesajili ni Deborah ambaye kipindi cha pili anatepeta
 
upo sahihi mkuu maeneo ya pembeni tunakosa creativity na productivity just imagine kibu anamaliza msimu ana goli moja tu?
 
Feisal au Shila una hela gani za kuwatoa Azam, Makolo mna ndoto za mchana.
Mchezaji wa maana mliyesajili ni Deborah ambaye kipindi cha pili anatepeta
ni kweli hela hatuna ndio maana tulikuwa tunamlisha feisal ugali na sukari hadi akaamua kukimbilia azam.
 
1729480291070.png
Baada ya kichapo, Simba walikutana makao makuu kujadili the way forward
 
Twafwaaaa
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC. View attachment 3131227
22. Chupi upande SC.
 
Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.

Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:
1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.

2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.

3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.

Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.
Usichokijua hata game ijayo tu Simba hatashinda mtapata sare basi lazima TFF ilaumiwe....
 
Back
Top Bottom